Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wapumbavu hao wametunga mabei wanayo taka waoo
 
Unadhani mbona wakona supermarkets kidogo, processed food is expensive in TZ. Nimewaambia walete bei ya rice na maziwa kwa supermarket wakatoroka. [emoji23][emoji23][emoji23] Lakini ukiwaambia walete bei ya mihogo mbichi watakuja hapa kwa vishindo.
Wajaribu waonez tuwaumbue sasa hivi, ndio manake mama nitilie kwao wamejaa
 
Man u masengeeeeee
 
Kocha mbwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
06 November 2021
Dar es Salaam, Tanzania

How Ubungo fly over / interchange of Dar es Salaam Changed in Two Years



Ubungo is one of the 5 districts in the city of Dar es salaam Tanzania, in the last two years there has been some dramatic changes to this new district which saw the construction of a modern Ubungo fly over / interchange and other roads improvement in the district.

Source: The BOSS TV
 
Yani hizi packaging kwenu ndio habari ya mjini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tanzania nyie jamaa mlikua gizani mazee manake sio kw aibu hizi, unatuletea vitu ambavyo kwetu vilikuwepo kitambo sna
Bongo kuna kila aina ya packaging unayoijua wewe inapatikana duniani .. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, nakuskitikia sana, wewe huijui tz hata kidogo .. nakwambia kila siku njoo ntakulipia Accomodation, njoo utoe tongo tongo.. Owky hii Apo chini ni packaging ya maji tu πŸ‘‡
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Nyie wakenya ni washamba sana. Kuna sehemu ulisema LATO ni low quality.
Nikakuuliza quality ya maziwa ni nini!?
Naona umebaki kupiga kelele tu kama stupid person.
Lato ni low quality maziwa, tangu mbele mumeanza juzi kuona packaging za maziwa sasa mtajuaje maziwa quality nyie bora yapo kwnye package tosha
 
Maskini, sasa hapo kipi kigeni..yani mpka umepata ujasiri wa kupost basi waona ni vitu vya kishua kumbe kwetu upupu tu
 
Are these the best you got? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ waaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…