Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nyie wakenya ni washamba sana. Kuna sehemu ulisema LATO ni low quality.
Nikakuuliza quality ya maziwa ni nini!?
Naona umebaki kupiga kelele tu kama stupid person.
Wewe leta bei wacha kubadilisha topic.
 
Naona umepost picha moja ya engo tofauti tofauti πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na bado ntakunyoosha, haya njoo hapa ground ARUSHA, ni picha na video za maeneo tofauti tofauti ya ARUSHA πŸ‘‡ . na hapa, bado mitaa muhimu ya ARUSHA haijaonekana kwenye hizi picha, kama uzunguni, mtaa ya ARUSHA bus terminal, njiro, n.k .. nataka ujiulize sasa Kati ya ARUSHA na Kisumu ipi ni city na ipi ni town.? .. Kisumu+Eldoret=Arusha..







 
Dar-is-a-slum midlle income estate inakaa vibaya kuliko Kibera [emoji23]
 
Mfumuko wa bei uko juu sn
 
Dodoma ni mkoa wenye hali ya hewa sawa na eneo kubwa la Kenya lakini ni kati ya mikoa Tanzania inayoongoza kwa kilimo, ukifika Dodoma utakuta Gari nyingi kutoka Zimbabwe na South Sudan zinasomba nafaka kuelekea nchi zao, inashangaza

 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mbona unaogopa sana mwanangu. Tanzania 80% tunafuga ng'ombe.
Hebu tuletee bei ya maziwa ya mama Ngina.
Another losing battle kama ile ya hospital equipment.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sawa we tafuna mihogo mbichi wachana na mambo ya processed products.
 
Naona haujaribu kutoka nje ya haka kasehemu kadogo kalikopakwa lipstick [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Climate ya dodoma ni semi arid kama Narok or Kajiado county. 80% of Kenya is Arid and Semi arid.
 
Embu mnyang'anyeni chupa ya githeri huyu...anaharaa bila kufikiriaa
 
Hata kwenye international popularity huwezi kuweka Arusha na hivyo vijiji vyao walivyokutajia, asome comments kutoka kwa wa Kenya wenzie wenye akili hapa

 
Don YF .. njoo kutana na City nje ya Dar es Salaam.. vile inakaa πŸ‘‡


. Alafu eti unaitaja Kisumu mbele ya ARUSHA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, hizo ni dharau za hali ya juu.. and guess what kuna mitaa minne ambapo ndipo vibopa wa Chuga wanaishi haipo hapo kwenye hizo picha .. NB: Kisumu+Eldoret=Arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…