Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukisoma vyema hii tweet utagundua JK kazini, eti wanatafuta mkandarasi wakufanya usanifu..alafu watatafuta mwingine wa ujenzi sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Acha kupiga kelele mingi kama mbwa, twende ground, tuanze na Over ten floors buildings .. Owky utachukua Kisumu na Eldoret kwa pamoja ili tulinganishe na Arusha.. mbona unaogopa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mapovu yanakutoka kwa kuogopa Arusha .. heb ona huu uchafu πŸ‘‡



 
huyu na abood wanataka kufanya nn.. sio kwa makamuzi haya.. afu wote ni wa morogoro
Uchumi jumuishi, kwa wakunya angekuwa anatokea Nairobi.

Halafu mabasi yake mengi yanapiga ruti ya Dar Moro.

Hivi mnamkumbuka yule mkunya aliyeandika humu kuwa hakuna mabasi ya Dar Moro! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kusimu inaweza kuizidi nini Arusha we matako.? Heb sema Kisumu kuna shughuli gani ya maana inaweza kuifanya iizidi Arusha kiuchumi.? Eti "naijua arusha" umewahi kufika arusha sehemu gani.. yani Kisumu iizidi Arusha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nakunya kuanzia hapa DSM mpaka Mwanza
 
Affordability
PROVE THIS.
The average price for 1ltr of milk and 1 Kg of rice is way cheaper in Kenya then in Tanzania.

 
Tunataka vitu vya ground mkunya, hatutaki data zisizo akisi uhalisia.

Weka bei za bidhaa hapa.

Huku Tanzania unaweza pata hadi 1 kg of rice kwa Tsh 700 hadi 1,000 inategemea uko wapi na aina ya mchele.
 
Tuma picha utuoneshe bei ya mchele. Hapo Nairobi.
 
Tunataka vitu vya ground mkunya, hatutaki data zisizo akisi uhalisia.

Weka bei za bidhaa hapa.

Huku Tanzania unaweza pata hadi 1 kg of rice kwa Tsh 700 hadi 1,000 inategemea uko wapi na aina ya mchele.
Wanatuketea Bei zilizotungwa na mtu akiwa amekaa ofsini jijini London
 
Nimeona hii message nikabidi nikujibu...

Kenya vitu vya Tanzania ndio ghali na ndio vyenye ubora... huo Mchele nafuu wanaokula wakenya huku Tanzania wanalishia mifugo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…