Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Kenya ranks ahead of Tanzania in terms of Affordability and Quality & Safety of Food.
We only need to fix our mess by irrigation of arid and semi arid areas to improve on availability na tutaingia top 3 kwa hii list.
View attachment 2000485
Wewe unavyoona hapo Kenya iko mbele ya Tz, au umesahau ku edit [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kenya ranks ahead of Tanzania in terms of Affordability and Quality & Safety of Food.
We only need to fix our mess by irrigation of arid and semi arid areas to improve on availability na tutaingia top 3 kwa hii list.
View attachment 2000485
Imeongoza kwa most improved ambayo Kenya ilikua number 3 pia, overall score mko number 6 with all the natural resources and good weather sisi tuko number 10 with minimal natural resources and harsh weather.unapost tena safety of foodπππ wakat juzi tanzania imeongoza africa
Hii report si ni nyinyi mulileta hapa wa kwanza, sahii mueanza kuikataa.πππEbu punguza nyeto mzee yani undanganyika kiraisi hivi ata aibu uoni
Kama Kenya ni namba 3 basi Africa kuna shida sn ya chakula.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimesema Affordability na Quality & Safety of food. Nyie munatishinda tu kwa availability na natural resources ambayo inaeleweka ju mkona a lot of arable land na good weather.Wewe unavyoona hapo Kenya iko mbele ya Tz, au umesahau ku edit [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
AffordabilityNimesema Affordability na Quality & Safety of food. Nyie munatishinda tu kwa availability na natural resources ambayo inaeleweka ju mkona a lot of arable land na good weather.
Ila ninyi watu buana, Tanzania ina surplus ya Tani zaidi ya million 2 za mchele wakati Kenya hata kuzalisha tani 300k ni impossibleKenya ranks ahead of Tanzania in terms of Affordability and Quality & Safety of Food.
We only need to fix our mess by irrigation of arid and semi arid areas to improve on availability na tutaingia top 3 kwa hii list.
View attachment 2000485
Hata hiyo number 3 hawapo sababu hawawezi kuwa na uhakika wa chakula kuzidi waganda ambao siwaoni kwenye rank, Kenya ni ya mwisho kabisa kwenye hayo mamboππππππ
Jana jioni nilienda kushangaa tanzanite brigdeView attachment 2000392View attachment 2000393View attachment 2000394View attachment 2000396View attachment 2000397View attachment 2000398
la kigamboni sijawah kupita.. hili lazima nipite[emoji3].. afu lipo pande za home kbsa
Mvua ikinyesha game inasimamishwa, watu warudi home. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halijaanza tumika unaweza sogea mbele zaidi kuna barrier wanapita staff tu . Lakini still kuna view nzuri haswa jioni .la kigamboni sijawah kupita.. hili lazima nipite[emoji3].. afu lipo pande za home kbsa
Uharoooeldy. just but a section of the View attachment 2000077
Alafu mnasema Dar haina slum.., tofauti na Nyalenda iko wapi? π π π π π π πHapa ni 2019
View attachment 2000292
Hiyo ni Dar ya miaka ya 90, nime zoom nimeliona hadi pagara letuAlafu mnasema Dar haina slum.., tofauti na Nyalenda iko wapi? π π π π π π π
Dar-Kabul-slum
View attachment 2000564
Nyalenda
Wewe ni mpumbavu kweli π π π π π .., sasa can u even compare Arusha to Kisumu eti? yaani mimi ni waste time yangu na wewe coz of TanzAnia nchi ya city moja.., Dar-kabul-slum! mnaipaka lipstick ndio ionekane lakini wapi, π π π π .., kwingine tunapajua vizuri kaka, hiyo Arusha na Mwanza ni nini kipya utaleta kenye sijaona na kuchambua?, we've dealt with those two towns of yours kikamilifu you idiot, they are below par sasa uniletee vipicha kwa angle ya propaganda ili ujitekenye ndio iweje? ama unadhani mimi ni mshamba kama wa Mwanza wenzako?.., idiot, eti tuhesabu vigorofa nyambaff.., outside Dar and Kampala hakuna any other city in Tanzania na uganda period, inferiority complex inakusumbua, zoea ukweli.Ila huyu jamaa Don YF huwa ananiachaga hoi sana.. ππ, nimemwambia tuweke battle kati ya jiji lao la tatu kwa maendeleo KISUMU vs jiji letu la tatu kwa maendeleo Arusha, lakini mara apost nyumba za mashambani uko Eldoret, mara vitu tofauti tofauti πππ.. unaogopa nini wewe kukileta kijiji chenu chenye infrastructure (kalvat) moja yenye mnajivuniaππ, nimekuomba tushindanishe kwanza kwa idadi ya ghorofa zenye floors zaidi ya kumi in both Arusha and Kisumu, kama tulivyofanya juzi kwa Nairobi vs DAR .. jamaa unapiga nduru mara ooh gorofa sio maendeleo .. sasa cha kujiuliza Kati ya kisumu na Arusha ni mji gani uko na uchumi mkubwa since Arusha is Tanzania's tourism hub .? ππ.. Kisumu+Eldoret=Arusha.. fala yoyote anaebisha twende ground