Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

but just know kisumu, by any standards is the leading city in EA interms of neatness and organization even ahead of chigali

Neatness [emoji3][emoji3][emoji3]
What parameter is this
 
Nipe sababu ya kushindwa kwa kila aina ya vita kwa kutegemea aina ya vita?
Kwa mfano kama ni Vita ya wenyewe kwa wenyewe, askari wanabadili sides daily ili kusurvive. Kwa hiyo Jeshi lenyewe linakuwa haieleweki.
Hii inshu imetokea sana kwenye nchi zenye Uasi. Na mara nyingi aina hii ya vita huwa inazimwa baada ya third parties kuingilia.

Lakini kama ni vita baina ya nchi mbili tofauti, mbivu na mbichi zinajulikana wazi wazi kiasi kwamba hata ushindi kupatikana ni rahisi.
 
Hivi yule mkunya mwenzenu aliyesena kamtuma slum junior wake kuja dar ili apige picha za dar is slum kaishia wapi mbona kimywa Tony254 komora096 Don YF [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dyfre MK254
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]tutawalazimisha
 
what's going on here? someone give me some context
Eritrea ijiandae maana adui kapata nguvu ,kama kuna kikundi kinapinga serikali ya eritrea basi sasa wamepata nguvu na wataungwa mkono na serikali mpya ya ethiopia
 
Wapumbavu sana awa kenge barabara ya njia 8 imekwama hakuna kinacho endelea HABARI YA CHINI YA KAPETI ZINASEMA SERIKALI IMEPATANA KWA SIRI NA MAKAMPUNI YA SIMU KUONGEZA GHARAMA ZA INTERNET ILI KUPATA FEDHA BAADA YA TOZO KUSHINDWA KUTOKANA NA WATU KUBADILI NJIA YA KUTUMA NA KUWEKA PESA ,,,,HIVYO KIKAO KIKAFANYIKA KUTAFUTA POINT AMBAYO WATZ AWAWEZI KUKWEPA KUITUMIA KWA URAHISI NDIPO WAKAPANDISHA MABANDO YA SIMU .
 
Maumiv peleka ushago...apo kunya huwez pata vitu standard hii...katuu
 
Kumbe taa na umeme tayari [emoji106] ,miradi ya jpm ndiyo inayo tusaidia kwenye huu uzi bado atujaona chochote cha huyu MJAMBIANI NI POROJO TU KAMA MCHAWI
Kwahyo jpm miezi 6 alikua ameshajenga kila kitu?akili za kimatope kama hizi sijui mnazitoa wap
 
Kisumu ni mji mkubwa sana most pictures huonyesha cbd pekee side ya lake kisumu imedevelop away from the lake just a picture here na hapo cbd hakuna and many other parts

View attachment 2000268
😂😂😂, Huu ☝️ uchafu ndio ushindane na Arusha.?
Usiitaje Mwanza kabisa, KISUMU haziwezani hata na Arusha, kuna nini cha ziada hapo Kisumu cha kushindana na Arusha.? Nashangaa mara unataja Eldoret 😂😂 kijiji cha gorofa moja,unaakili kweli wewe.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…