Bado kuna mkunya anasema EACOP haipiti Tz? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa jamaa wapewe na jangwani pale hili mafuriko yaishe . Yaani kuanzia fire to magomeni mapipa mambo yatakua sawa. Speed yao sio ya kitoto
kabisaHawa jamaa wapewe na jangwani pale hili mafuriko yaishe . Yaani kuanzia fire to magomeni mapipa mambo yatakua sawa. Speed yao sio ya kitoto
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] takataka ya kiberaMagufuli alikufia Nairobi Hospital. Hiyo pekee inamaliza mjadala wa nani ana hospitali nzuri kati ya Kenya na danganyika.
Na venye Magufuli alikua hapendi Kenya lakini kifo ni nani. View attachment 1998623
Rest in peace JPM
Wafanye Singapore port kama case study . Halafu serikali implementation kidogo kidogo . Jamaa wapo advanced kwenye port management kiasi kwamba wanasema kila dakika 2 Hadi 3 meli unazingia na kutoka . Ukiweza punguza foleni maana yake ushashinda biashara. Vifaa viwe more advanced and automated
Rungu lilifichwa tuuu wajitekeny waone250 km/hr vs 80km/hr cjui tunashindana nini hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
@Tony254 bado unapisha kuhusu bomba la mafuta . Mwambie na bwana mapesa huku mambo karibua yanaanza
Nadhan LEDSafi sana, sijui huo mwenge utakuwa na moto wa gesi au wataweka LED.
Bongo kama mamtonijaribun kuzoom hii picha muangalie background kule mwisho [emoji7]
View attachment 1998886
Tofauti yake ni kwamba hiyo ya juu ni very modern lkn pia hizo picha ziko tofauti, kuna moja ni halisi nyingine ni just a lipstick as usual.linganisha huu uharo [emoji116][emoji116][emoji116]na mama ngina water front park.......
mama ngina water front park
Izi mafiii za kunya ni useless kabisamsikieni huyu mbwa
Kumenoga sanaUnanzaje kubisha na hii city[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji11][emoji11][emoji11]View attachment 1999263
Mm nimeelewa watanzania we have potential ila vikwazo tunajiwekea wenyewe
Mi nimeitafsiri kuwa utajiri halisi uko Tz ila mama anaenda kuutafuta kwa wawekezaji Ulaya. Je wewe umemwelewa vipi Masoud?