Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

safi hatua ilipofika ni pazur.. nashauri.. parking wangeweka pavement pia.. hata mauchafu kama makaratas yanakuwa rahis kuwa collected.. na hapo junction wangeweka hata roundabout.. space inaruhusu

Nakubaliana na wewe, Mkandarasi wa hilo daraja anaweza kuombwa afanye hivyo kama sehemu ya CSR. Pia papandwe miti kuleta madhari na kivuli eneo hilo, patapendeza sana.
 
Kila kitu kwa ss kinakuja Tz, investors huwezi kuwaongopea wacheze kamari kupeleka Investment zao kwenye vinchi maskini na vyenye laana kama Kenya.
Kenya niliwaambia humu ni bomu na ethiopia wakenya wakabisha sasa ethiopia tayari kimenuka
 
kabisa
 
chupi ya NairobiWalker ni kubwa kuliko kiuno chake
 
I like such arguments, worthy to read, though kuna acting clever and being evasive of some outlined points, kujitia hamnazo ki u-sniper, just so to appear on top or win the argument, ila mikwara ndio zimejaa humu, entertainment zone, mapicha gang, zero IQ.,
 
linganisha huu uharo [emoji116][emoji116][emoji116]na mama ngina water front park.......


mama ngina water front park









[emoji16][emoji16][emoji1][emoji1][emoji1]hapo sasa ndiyo nimekugundua kuwa huna akili timamu
 
Wengi sana mnaishi hovyo, mwenzako kasema ukweli wewe wivu yako kwa Kenya inakusumbua., mko hovyo sana wengi wenu, wewe ukiwemo, fikra zako ni dhibitisho siitaji kukuona, na hili ni kutokana na ujinga tu., nchi(hardware) iko sawa raiya na serikali ndiyo hovyo, a software problem, wachana na Kenya wewe, kila mtu abebe mzigo wake., ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ mnatajwa na Ethiopia na DRC kama nchi tatu zilizo beba watu fukara wa kutupwa, sio tu fukara.., jikubali upone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ