Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Answer my question please. Tell me which brand of milk do you export to other countries!?

Acha kulia, tunaenda step by step.
Hakuna haja ya kwenda mbali. Wewe mwenyewe hapo Gongo la Mboto unakunywa maziwa ya kenya
 
Duh!! unafukua taarifa ya 2014 almost ten year ago. Are you dead or something!?🀣🀣🀣 can you mention the brand name please.
 
Maisha tz ni mepesi kwa mtu wa nchi yoyote akija awezi teseka
Maisha ni rahisi kw sababu uchumi wenu wenyewe mwepesi alafu nchi imejaa wakulima na wazembe..
Tukija masuala ya hustling na mambo ya vipato kw upande wa hzi nchi mbili, utakuta kenya ipo mbali sana kw sababu hku hela inatembea sana kona zote..
 
Hivi hizi article huwa mnazitoaga wapi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, kwani nyie mnatuweza kwenye uzalishaji wa maziwa jamani.? πŸ˜‚πŸ˜‚..
 
Dada komora096 taratibu, umekaribia menopause jitahidi kutumia kichwa kwenye kila jambo, makalio ni kwaajili ya kuketi vizuri tu.
 
We unasema mikoa mitatu mzee..yani mlijenga juzi kwenu basi mnajikuta mumeanza nyie[emoji1787][emoji1787]
 
Maisha ni rahisi kw sababu uchumi wenu wenyewe mwepesi alafu nchi imejaa wakulima na wazembe..
Tukija masuala ya hustling na mambo ya vipato kw upande wa hzi nchi mbili, utakuta kenya ipo mbali sana kw sababu hku hela inatembea sana kona zote..
Yani wewe ndio unavuwezo mdogo sana wa ku reason, heb nenda kabishane na walevi wenzako vijiweni uko.. oya mzee Lwiva usimjibu tena huyu ndondocha (zangu zinaani) πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi hizi article huwa mnazitoaga wapi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, kwani nyie mnatuweza kwenye uzalishaji wa maziwa jamani.? πŸ˜‚πŸ˜‚..
Si mimi nimesema
Tatizo yenu ni kwamba mnapenda ubishi za kijinga. Mnadhani tu life starts and ends in Tanzania. I can give hundreds of articles listing Kenya as one of the leading milk producers in Africa. You should learn to live with facts, sio kila kitu kinafaa ubishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…