Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Central bank of Tanzania DODOMA branch 👇CENTRAL BANK OF TANZANIA Mwanza branch 👇CENTRAL BANK OF TANZANIA Arusha branch 👇we jamaa Nicxie njoo hapa ulete ofisi za CENTRAL BANK OF KENYA at least kwenye mikoa mitatu outside NAIROBI .. sio upige kelele tu alafu ground tunawapiga gepu.. NB hayo majengo yote hapo chini hakuna la mkoloni 😂😂😂..
 
Ndio tunawapowambia mkenya wa kawaida akija tz hawezi teseka km vile mtz wa kawaida aje hku..

Mkenya wa kawaida anayamudu maisha popote pale hapa EA
 
Hyo cola tayari ujue cocacola anapiga hela
 
I'm stating a fact. The biggest milk producer in Africa. You probably use our milk every day.
Biggest, longest, tallest hizi ni issue za primitive people. Watu ambao hawana exposure. Do you know even how Africa is!?
Which countries do you sell your milk!?
How many countries do Africa have!?
Do you know the population of Africa!?

Please answer my question properly I will give you a nice pride.
 
Mbona na wewe hayo majengo huyataki na wakati ni ya CBK tu bado[emoji1787][emoji1787]
Ndio ujue kenya sio level yenu
 

Oky Kumbe haukuwa wewe, nilipost Central Bank of Tanzania DODOMA branch, mwenzako akapost kisumu, nikapost tena Mwanza branch wewe ukarudia tena Kisumu.. ndio mana nikakwambia hakuna kurudia mradi mmoja while mimi niliweka miradi miwili
 
Chizi hilo, mtu mwenye akili hawezi kujisifia maziwa wakati wanakufa kwa njaa, kwanini hayo maziwa yasisaidie kupunguza njaa?
 
hiyo ni agroprocessing na si manufacturing!
Before you do any processing you need to set up manufacturing plants. Na hapo ndio mumeshindwa. Processing sio kitu kubwa ju hata Yogurt unaeza jitengenezea kwa nyumba.
 
Before you do any processing you need to set up manufacturing plants. Na hapo ndio mumeshindwa. Processing sio kitu kubwa ju hata Yogurt unaeza jitengenezea kwa nyumba.
🤣🤣🤣Wewe ndiye msomi uliyetumwa na mama Ngina kuja ku argue na watanzania walioelimika kitambo!?
 
Sasa mbona unasema narudia picha wakati we ndio unarudia? Hii ya Mwanza hukuwa ushapost?

CBK Mombasa


CBK Eldoret
 
🤣🤣🤣Wewe ndiye msomi uliyetumwa na mama Ngina kuja ku argue na watanzania walioelimika kitambo!?
Mulielimika na hata hamuwezi tengeneza a simple Milk ATM. Mumejazana Kenya kununua, we like to benefit from your laziness by the way.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…