The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Na ndiyo nilimwambia huyo mjinga mwenzako tunazo Pension houses nyingi anataka ipi.Mwambie tuko na pension houses nyingi hapa Kenya. Nyingine ndio hii hapa pale Loita Street, NairobiView attachment 1993920View attachment 1993921
Wee wataruka na hutawaona tena, Kenya ni Nairobi, Nairobi ni Kenya kwisha.Baadhi ya vijiji hapa Tanzania.True middle income inabidi tuanzishe battle kulinganisha quality ya maisha ya wanavijiji wa ke na Tz.Hapa ni vijiji huko Bukoba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1993930View attachment 1993932View attachment 1993931View attachment 1993933View attachment 1993934
Mimi nimekuuliza pension house ya BoT. Hiyo umeshindwa kunipa sababu hamna hiyo.Na ndiyo nilimwambia huyo mjinga mwenzako tunazo Pension houses nyingi anataka ipi.
Munjombe hebu tia neno hapa mana wewe upo kwenye battle ya bukoba vs njombe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Baadhi ya vijiji hapa Tanzania.True middle income inabidi tuanzishe battle kulinganisha quality ya maisha ya wanavijiji wa ke na Tz.Hapa ni vijiji huko Bukoba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1993930View attachment 1993932View attachment 1993931View attachment 1993933View attachment 1993934
Kando na Dar nionyeshe mji Tanzania unaoweza shindana na Mombasa.Wee wataruka na hutawaona tena, Kenya ni Nairobi, Nairobi ni Kenya kwisha.
Hazina majina lkn uliziona au hukuziona na zikakuchapa, au nikuletee tena [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sema hazina majina, si eti hauna habari. Hata recreational parks pia mko nazo nyingi sana ni vile tu hayana majina!
Elimu sio maneno ni matokeo.. nyie kila kukicha majengo yanaanguka huko kwenu, elimu yenu inazalisha viongozi wa hovyo kama akina UHURUSijaongelea kiingereza wee kilaza. Nimeongelea usomi. Najua kiingereza ni weakness yenu ndio maana unajishuku.
Hahahaha, hii ni dalili ya kushindwa, ni jukumu la wewe uliyeweka post kuthibitisha kile unachokisema.[emoji23]Wewe tutolee evidence sii za Kenya. Malenge.
Unadhani cc ni the failed state kama nyinyi, yn institutes kunako Kunyaland zinaingiliana tu haijulikani hii ina perform roles zipi na ile ina perform roles zipi, yn bora liende, no wonder politicians wanakula tu pesa zenu cz hamna akili ya ku reason.Mimi nimekuuliza pension house ya BoT. Hiyo umeshindwa kunipa sababu hamna hiyo.
Nyie mko na majengo ya kuanguka?Elimu sio maneno ni matokeo.. nyie kila kukicha majengo yanaanguka huko kwenu, elimu yenu inazalisha viongozi wa hovyo kama akina UHURU
π€£π€£π€£Unadhani cc ni the failed state kama nyinyi, yn institutes kunako Kunyaland zinaingiliana tu haijulikani hii ina perform roles zipi na ile ina perform roles zipi, yn bora liende, no wonder politicians wanakula tu pesa zenu cz hamna akili ya ku reason.
Stiegler Gorge is owned by all Tanzanians but Brookside is owned by Mama Ngina na kundi lake la majambazi[emoji23][emoji23]Hivi wewe una stiegler Gorge Ngapi ama unatuwekea za Magufuli? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Kwa hivo utapata stima bure juu it's owned by Tanzanians ama?π€£π€£Stiegler Gorge is owned by all Tanzanians but Brookside is owned by Mama Ngina na kundi lake la majambazi[emoji23][emoji23]
How can a country be more learned still they kill each other because of tribalism?, do you really understand the meaning of "learned society?".Kenyans are more learned than Tanzanians. That's a fact. It's Kenyans, Ugandans, Rwandese, Tanzanians and lastly Burgundians in that order
Haya ndio maneno sio matokeo ya elimu .. ona matokeo ya elimu yenu πNyie mko na majengo ya kuanguka?
Ndio Haya matokeo ya elimu yetu. Fungua link usome.
One of the biggest strength we Tanzanians enjoy International respect is the fact that we use our own language in everything.Sijaongelea kiingereza wee kilaza. Nimeongelea usomi. Najua kiingereza ni weakness yenu ndio maana unajishuku.
good to know that this building is located along Kikuyu Avenue in DodomaKwani hili ni jengo lenu bro, weka majengo yenu tushindanishe na ya kwetu .. kwa mfano π bank of Tanzania DODOMA branchView attachment 1993992
Tutapata umeme kwa Bei ndogo Sana, na Ile pesa itakayopatikana kwa kuuza umeme itaenda kujenga miradi ya maji vijijini ambako wanakijiji wanapewa maji bure bila malipo yoyote, pesa ingine itaenda kujenga mifumo ya umwagiliaji mashamba vijijini wananchi wanatumia bure bila malipo [emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hivo utapata stima bure juu it's owned by Tanzanians ama?[emoji1787][emoji1787]
Utanileteaje bustani ya hoteli useme ni recreational park ukiulizwa ywaitwaje unaseme haina jina! Unatuona sisi ni watoto wa chekechea wa kuning'iniwa peremende?Hazina majina lkn uliziona au hukuziona na zikakuchapa, au nikuletee tena [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Unalinganisha commercial towers zenu na majengo yetu ya ghetto?π€£π€£Haya ndio maneno sio matokeo ya elimu .. ona matokeo ya elimu yenu πView attachment 1994013View attachment 1994014View attachment 1994015View attachment 1994016elimu yenu inazalisha vilaza, maneno mingi Ila matokeo yake ni zero.. haya hii hapa ni matokeo ya elimu ya Tanzania πView attachment 1994025 PPF TOWER : ::: Estim Construction :::. View attachment 1994028hizi hapo juu ni facilities zilizotengezwa na Tanzanians wenyewe, kampuni za kitanzania, mafundi wa kitanzania, na hii ndio tunaita elimu, sio elimu yenu nyinyi ya kujisifu kujua kiingereza.. πππ kujua kiingereza ni sawa na mtu kujua kisambaa yaani (vernacular languages).. and mind you hii ni miradi michache tu nimepost ulitaka ntakukomesha