Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hio yenu ni kufika penye Kenya ilifika 2012.
You need a GDP per capita of $1036 ndio mfike Lower middle.
Kenya inatarajia true middle class by 2030. Yaani GDP per capita ya between $4,086 and $12,615
Twende kazi dogo naona unaongea sana hapa. Mbona balance ya account yenu huongelei?
Hebu jaribu kutoa madeni yote mnayodaiwa + Kupika data
 
Shida kubwa na watanzania ni kujidanganya. Na hii ni part of symptoms ya poor people in general.
Saa hii, Wakenya wanaompenda Magufuli ni chini ya asilimia 20%. Mwanzoni alikuwa na supporters lakini rangi yake ya ukweli imejulikana.

Heheheheheheheheheheheheheh.
Magufuli anakubalika tu Uganda na Burundi ambako wamo madikteta wenzake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unaelewa kiswahili wewe bwege hio ni deni ya 17 yrs kenge wewe....πŸ˜€πŸ˜€

Unafkiri kwann wanataka suluhu na serekali wanajua mali zilizomo kwenye makontena ni balaa
Ndio maana wamechanganyikiwaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
deni ya 17 years 190 billion dollars? okay deni ya mwaka moja ni $11bn , what's the yearly profit of that company and what did they ought to have paid $11bn a year for,just asking.
 
WW unapotosha wenzanko , kama binadamu anaishi nyumba ya dog na dog anaishi nje , akija Tanzania ataona yupo mbinguni, kama MTU anamiliki half ya land ya Kenya mwenyewe akiacha wenzanke wanaishi kwenye meter square moja apo kibera na mmekaa kimya ukija bongo utashangaa normal citizen wana own land na houses

spensa_e
 
ila umemuelewa lakini huyo jamaa yaani anakuambia kama hawajaingia middle economy vizuri

asa maana yake nini....hafu wanajiita DC sio siri kanifurahisha sana..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Maana yake ni hii.

LDC - Lower Middle - Upper Middle - High Income

Kama hutaelewa zaidi ya hapo, rudi shule.

Middle-Income Countries (MICs)
 
Don't compare Magufuli to this president mlevi na mvuta bangi
Kwanza kabisa, don't charge them $190 billion. Pesa ambazo Acacia haijawai tengeneza maishani mwake.
La pili, established institutions should administer fair justice. Hakuna investor hupenda nchi ambayo President anaweza ropoka anytime.
 
deni ya 17 years 190 billion dollars? okay deni ya mwaka moja ni $11bn , what's the yearly profit of that company and what did they ought to have paid $11bn a year for,just asking.
Go ask acacia ulitegemea wakuoneshe mpaka chupi zao...unafkiri mzungu mjinga achukue 10 alaf aseme nimechukua 10?????
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Anachukua 10 anakwambia nimechukua 2
Sasa ndio hio walipe tuπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜› we inakuumia nini
 
deni ya 17 years 190 billion dollars? okay deni ya mwaka moja ni $11bn , what's the yearly profit of that company and what did they ought to have paid $11bn a year for,just asking.
Hizo dogo siyo biashara za maua. We are talking about Gold my friend. Nyie komaaneni na issue zenu. Kama unashangaa sasa elewa hivyo. Hizo pesa tunawadai wazungu ma lazima watulipe. Bado kuhusu fuvu la dinosaurs aliyeko German wanaingiza pesa siyo muda tutaanza kuwadai since wamchukue toka TZ

Usiichukulie TZ kama Kenya. We are more than you guys 10000km away.
 
Don't compare Magufuli to this president mlevi na mvuta bangiView attachment 550926
huyo anaitwa ganja man nusu ya ardhi kenya yake, viwanda vya maziwa vyote vyake most of banks zake
airlines nyingine zake.....malls zigine zakeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
48 million kenya wanasugua meno
 
you must be high on something illegal
 
michago ya watu kama wewe....so hatushangai na hatumchukii magufuli aendelee kupiga kazi mwanzo mwisho
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…