Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uchumi na biashara unaendeshwa na market forces wala sio protectionism hayo ni mambo ya kizamani na yanarudisha nyuma EA integration.
Saa hii mnatetea market forces na nyinyi ni socialists. Tangu lini nyie communists mumeanza kutetea uchumi wa kibepari? Ama ni kwa sababu mnaona mnafaidika sana na system ya kibepari?
 
Hiyo ndio free trade economic au?
 
Hapa Kenya Governors ndio wanaendesha Maendeleo.Hata kiti cha urais sio ya maana Sana ju the power is closer to the people
Governors ndio wanaokopa na kuiingiza nchi kwenye madeni yasiyolipika c ndio?

Governors ndio wanaoingia mikataba ya kipumbavu inayogharimu maisha ya Wakenya au sio? Nyie wakenya hamna akili.
 
Governors ndio wanaokopa na kuiingiza nchi kwenye madeni yasiyolipika c ndio?

Governors ndio wanaoingia mikataba ya kipumbavu inayogharimu maisha ya Wakenya au sio? Nyie wakenya hamna akili.
Miradi ya governors na mikopo wapi na wapi mzee, umechanganyikiwa eee..
Hapa tunataka kuwaonyesha km serekali hku governors ndio wanafanya kazi kubwa sana manake hakuna serekali kuu itakuja ikujengee barabara, stadiums(county level), recreational parks,health centers,markets e.t.c yani hyo ni kazi ya governor na wala hawakopi ni ule ule mgao wa kutoka serekali kuu
 
Kwa hiyo huo mgao toka serikali kuu anaidhinisha nani.
 
Umekasirika kuona ya kwamba hela yetu ina nguvu east africa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mwenzako Lusematic amekimbia ndio kakutuma uje kumsaidia sio..

Dola ya marekani ina purchasing power karibia ulimwengu mzima, upo mzee..
Leo nataka niwatoe matongo tongo aisee, kw east africa ni hela ya kenya popote unatinga na ksh1000 hapa east africa na una kula vinono mpka raha[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…