Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

eti the biggest denomination in Tz Tsh10,000/-, is equivalent to only Ksh400/-. tz mkonashida aky
 
Hakuna ndege ya Tanzania ambayo imewahi kuja Kenya kutoka enzi za East African airlines. Sema Uhuru anampenda mama na amemuonea huruma tu.
Inakaa hii habari ya Air Tanzania 2 daily flights imekuumiza saana mr Agressive Kenyan! Tulia mzee while Znz-Nrb route is loading...halafu FYI kuna uwezekano wa partnership ya KLM/Air France na Air Tanzania hizi ni za moto chini ya carpet! 🗣️👂
 
Alah! Huyu jamaa anafuatilia mambo ya Kenya kwa ukaribu sana.
 
Nairobi, ndola, Lumbumbashi, kinsasha, kigali na SA. Tayari route za lusaka, harare, entebbe Guanzhou mumbai comoro Bujumbura zina operate
You sound very optimistic but naive. Nawaombea ufanisi katika hii industry ngumu ya airline. Mkiambulia patupu hatutawacheka maana inaeleweka. Hii industry ni ngumu kama mawe.
 
Huu uhusiano mwema kati ya Kenya na Tanzania naona unaleta madhara mabaya katika uchumi wa Kenya. Hata afadhali ile enzi ya Magufuli ambapo tulikuwa tunapigana vita vikali kila siku. Saa hii wakulima wenu wanauza vyakula Kenya, ndege yenu inakuja Kenya kuuwa ndege yetu. Hapana, haiwezekani. Afadhali turudi kwa kupigana tu. Naomba uhuru alianzishe dude, afunge mipaka tena.
 
Kampuni ya Abood leo imeingiza Tanzania basi mpya 20. Gari zimepelekwa kwao Morogoro.
 

Attachments

  • Screenshot_20211013-194413_Twitter~2.jpeg
    66 KB · Views: 20
  • Screenshot_20211013-194413_Twitter~2.jpeg
    66 KB · Views: 20
  • Screenshot_20211013-194413_Twitter.jpeg
    62.2 KB · Views: 18
  • Screenshot_20211013-194413_Twitter~2.jpeg
    66 KB · Views: 18
Ila kwa hili sikubaliani nae,Kama ni Magu asingeuvumilia huu ujinga


 
Ila mama angalau wiki hii kanifurahisha, akiendelea hivi kdg nitakuwa na Imani naye.
Hasa kwa kuweka wazi kiasi kilichopokelewa na matumizi yake,nimependa huu utaratibu.ila vp kuhusu ile tozo kwa ajili vituo vya afya,na ekimu?kwa sababu naona huu mkopo ni Kama umefuta changamoto zote za hizi sekta
 
Na bado meli zetu zitatia nanga kwenye bandari zenu soon. WE ARE THE EA SUPER POWER.
 
Vipi unaogopa ATCL yenye ndege 11 wakati KQ inazo ndege 40?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Mmeanza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…