Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nikisomaga comments za Tony huwa nacheka sana, mana hiki kiswahili anachotumiaga huwa kinanchekesha sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

By the way nilikuwa cjui kama sukuma wiki ndio mboga pendwa kule Kenya, lkn Wakenya walikaa kimya wasiseme kama huwa wanategemea sukuma wiki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna ndege ya Tanzania ambayo imewahi kuja Kenya kutoka enzi za East African airlines. Sema Uhuru anampenda mama na amemuonea huruma tu.
Unamuoneaje huruma mtu aliyekuzidi kila kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huo upuuzi wa kwamba mtakuja Nairobi 14 times a week siamini. Hata KQ sidhani inakuja TZ 14 times a week.
Let strong man passes by [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Basi usije kuta akapelekea KOT haya malalamiko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
So Kenya now imeanza kulinganishwa na US and China [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
and so is kenya to this eastern africa block and to some extend southern africa. coz i hear our kenya shilling is exchanging hands even to as far as zambia, malawi, dr congo etc. infact its legal tender in somalia. but ya tz inabaki tz
 
Sio kupinga. Nimeuliza swali tu. Hii mindege mnayonunua mnapanga kuyatumia kwenye routes gani? Yaani hata siwaelewi. Anyway yangu macho tu. Tutaona kama hii business strategy yenu itawork.
Kwenye soccer tunasema tunakuja kuikabia kwa juu kq ifilie kwa mbali,kq imetunyinya vya kutosha
 
Yaani mtu aache kupanda Airbus mpya ya kisasa eti apande Ile mikweche iliyo shikizwa na gundi kwenye bawa! [emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu matangazo ya hizo Airbus sasa, hatari tupu, unaambiwa ni ndege za kisasa zaidi, alafu mtu apande KQ karogwa au? Kwani hata hapa bongo ATCL imeua upinzani kwasababu ya nn kama co quality ya ndege zao na services.
 
Magu Alikukosea nini Maana Unachuki binafsi hata Hayupo Duniani
Nafuatilia sana Comment zako humu
yaani we jamaa umejawa na Ujuaji mwingi sana Pia chuki
Magufuli Alisha pumzika Hata umchukie Vipi haita Saidia
 
Magu Alikukosea nini Maana Unachuki binafsi hata Hayupo Duniani
Nafuatilia sana Comment zako humu
yaani we jamaa umejawa na Ujuaji mwingi sana Pia chuki
Magufuli Alisha pumzika Hata umchukie Vipi haita Saidia
Tatizo unakuja na negative mentality unashindwa kuona point. Mi naongelea kumuenzi inavyopaswa! Hiyo mausoleum iliyojengwa haijakaa vizuri! hamna chuki hapa!

BTW huwezi kunilazimisha kumpenda unayempenda kila mtu ana opinion yake though opinion yangu kwenye hii nyumba ya kaburi la Magufuli ililenga kujenga.

This is Kenyatta's mausoleum




Tom Moboya's mausoleum




Oginga Odinga's mausoleum




Nyerere's mausoleum




Nkrumah's mausoleum




Mandela's Graveyard




VS


Magufuli's mausoleum




MY TAKE
Well wacha niambiwe namchukia ila that thing for Magufuli is ugly! No creativity!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…