joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Sasa mkikataza ndege zetu kuja huko unategemea sisi tutaruhusu KQ kuja kwetu?, Kumbuka kwamba ATCL haitegemei routes za Kenya, ila KQ inategemea routes za Tanzania, itabidi muwe wapole mkubaliane na vile tutakavyosema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata mimi nimeshangaa Uhuru anafanya nini? Anawezaje kuwaruhusu malazy kuja Nairobi kuuwa KQ? Hio haikubaliki. Wakenya watazua rabsha wakifahamu kuwa TZ inajaribu kuuwa KQ.
14 trips per week ni nyingi sana. Hio haitowezekana kamwe. Zambia mna trips tatu tu halafu Kenya mnataka kupewa trips 14? Wacheni ulafi.Sasa mkikataza ndege zetu kuja huko unategemea sisi tutaruhusu KQ kuja kwetu?, Kumbuka kwamba ATCL haitegemei routes za Kenya, ila KQ inategemea routes za Tanzania, itabidi muwe wapole mkubaliane na vile tutakavyosema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakumbuka a while back, nilikuwa na route sana za Uganda kwa basi.
Unakuta unaondoka Dar na basi Akamba, zuri kabisa, kitu AC safi. Mkifika Nairobi mna badilishiwa basi na kupewa basi la Akamba bovu yaani, vioo vina piga kelele hatari.
Ukiuliza, wana kwambia barabara za Kenya na Uganda mbaya, na pia wakipeleka basi baya Tz hato panda mtu [emoji23][emoji23][emoji23]
14 trips per week ni nyingi sana. Hio haitowezekana kamwe. Zambia mna trips tatu tu halafu Kenya mnataka kupewa trips 14? Wacheni ulafi.
Sasa mtafanyaje, mkikattaa kila mtu abaki kwake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]14 trips per week ni nyingi sana. Hio haitowezekana kamwe. Zambia mna trips tatu tu halafu Kenya mnataka kupewa trips 14? Wacheni ulafi.
wazee wa agressive Kenyans wanaanza kuhaha!Sasa mtafanyaje, mkikattaa kila mtu abaki kwake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha, wao walikua wanasema wanajua Sana biashara sisi ni lazy[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wazee wa agressive Kenyans wanaanza kuhaha!
4lane turkana inafanya nini sijui,,ujue wakenya wamerogwaGood roads without food. Maendeleo ya watu vs Maendeleo ya vitu [emoji23][emoji23][emoji23]
yaani ni mwendo wa price wars wao wana mkopo wa Embraer ambao washa-default sie tuna vifaa vipya vimenunuliwa kwa cash!Hahahaha, wao walikua wanasema wanajua Sana biashara sisi ni lazy[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani ni mwendo wa price wars wao wana mkopo wa Embraer ambao washa-default sie tuna vifaa vipya vimenunuliwa kwa cash!
Ulikuwa unataka tukose kujenga barabara Turkana ndio uendelee kuongea matope kuhusu Kenya? Ole wako Kenya kila mahali tunasonga mbele na lami sasa inapatikana kote kote hata Moyale huko karibu na Ethiopia. Hata Mandera tunatandaza lami.4lane turkana inafanya nini sijui,,ujue wakenya wamerogwa
Safi boss..umeelezea vizuri..hata mm naona ni compnay ambayo tunaweza fanya code sharing..ili Dar iwe hub yao ..so stop ya kwanza Africa inakuwa Dar ..then hapo Tuna supply ..au ikiwezekana tunawafta abudhabi ..ni wazo zuri kakaBabu umeelezea kiistarabu sio kama yule mkuu mwingine,si vibaya ulivyofafanua ila nionavyo etihad airlines katika magiant ya usafirishaji wa angani na wenyewe wapo,now tuna airbus 4 ambazo zinaweza kusafiri direct to abu dhabi,etihad bado inafika mataifa mengi ya europe binafsi naona hiyo route si mbaya kihivyo ikiwa hata sasa hivi ukibook trip ya dar kwa etihad kutokea europe wanakuuzia ticket ila ukifika abu dhabi wanakuunga ethiopia au wakulete hadi nbo then kq ndio ikulete dar,kia au znz!siamini trip 1 au 2 kwa wiki to abu dhabi kama kutaitereresha emirates au qatar,uwanja wetu una vigezo vyote vya transit kubwa, kama ushafika jkia au bole airport most of passenger ni wacongo,nadhani kwa africa hivyo viwanja wacongo ndio wanaongoza transit now tuna ndege 1 tu ya direct to europe,atcl inaanza safari ya congo unaonaje wale wacongo tukawa tunawavuta dar kwa atcl then wanaunga atcl hiyo to abu dhabi then huko wanaunga tena,tuna ndege now sidhani kama kuna haja ya kuhofia route,mimi nishaiona kwa macho yangu ethiopia inapiga route ya vienna na warsaw sehemu ambazo utarajii,katika maisha hakuna kuogopa binafsi upungufu wa etihad kutokuja dar naona ni opportunity nzuri kwa atcl kupiga hiyo route
mindege ndiyo nini...?Sio kupinga. Nimeuliza swali tu. Hii mindege mnayonunua mnapanga kuyatumia kwenye routes gani? Yaani hata siwaelewi. Anyway yangu macho tu. Tutaona kama hii business strategy yenu itawork.
Nyie tu mnakuja Dar more than 10 times a week ..bado mnaenea Zanzibar na KIA almost everyday14 trips per week ni nyingi sana. Hio haitowezekana kamwe. Zambia mna trips tatu tu halafu Kenya mnataka kupewa trips 14? Wacheni ulafi.
Tuliwaambiiia Tony254 komora096Nakumbuka a while back, nilikuwa na route sana za Uganda kwa basi.
Unakuta unaondoka Dar na basi Akamba, zuri kabisa, kitu AC safi. Mkifika Nairobi mna badilishiwa basi na kupewa basi la Akamba bovu yaani, vioo vina piga kelele hatari.
Ukiuliza, wana kwambia barabara za Kenya na Uganda mbaya, na pia wakipeleka basi baya Tz hato panda mtu [emoji23][emoji23][emoji23]