Nairobi Gossip Club
JF-Expert Member
- Sep 25, 2021
- 503
- 432
labda mfike kwa kuanika mpunga na mahindi😏😏😏Tukifika utaongea vyema
labda mfike kwa kuanika mpunga na mahindi😏😏😏Tukifika utaongea vyema
hii ninalinganisha tu na Nakuru's Section58 Interchange 👇🏽Ebu acha kujitia aibu na huo uchafu wenu sionwa kulinganisha na n hii kitu kaa mbali snaaa..utapat headechView attachment 1967903
Yani nyinyi mnafuata kiongozi Kama mungu😀😀😀akisema left nyinyi wote mko left!akisema right wote mko uko adi wasomi!Uongoz umebadilika but so far we are doing just fine
Yaani hii hii Dodoma ambayo ina asili ya jangwa! [emoji23][emoji23][emoji23]
Njaa ulikuja lini ukakosa vyakula kenya vimeishaUkimalizana na issue ya njaa uje tuongee
Ebu acha kujitia aibu na huo uchafu wenu sionwa kulinganisha na n hii kitu kaa mbali snaaa..utapat headechView attachment 1967903
Sasa umeongea nini hapo, tena wajiskia kweli[emoji1787][emoji1787]Ww tulia tuu....rail yenyew level ya MGR Tz...mnaongea nn
Siku zote km unaliwa akili huaga zinapotea, lkn subiri zikija kukaa sawa ndio utajua km ilikua wanacheza na kisodaToa wenda wazim wako...kitu kama hujui kaushaa
Vile mnasifu mahindi mtu anaweza fikiria mtapata billions revenue out of it, Kumbe gunia moja mnauza 250 hapa Kenya😭😭😭Yaani hii hii Dodoma ambayo ina asili ya jangwa! [emoji23][emoji23][emoji23]
Trust me, Dodoma ingekuwa ipo failed state ingekuwa nayo sasa hivi inategemea misaada ya chakula.
Stupidi manki kwenye ubora wako.Vile mnasifu mahindi mtu anaweza fikiria mtapata billions revenue out of it, Kumbe gunia moja mnauza 250 hapa Kenya[emoji24][emoji24][emoji24]
alafu hizo mahindi mostly mnauzia brokers hapa kenya. anaimport,anafanya processing hapa kenya Kisha anarudisha kwa shelves za middle class huko kwenu, bei anawagonga ×3 ya importation😭😭😭. mwenye anaumia ni mkulima pale taboraStupidi manki kwenye ubora wako.
Fool Jambojet haitui Tanzania, unawezaje kusema tunapigwa?kama internal flights yenye inapigwa huku na Jambo jet ndio mnamake losses na midege Cash!!! route ya Nairobi mtamake profit?
"Internal" foolFool Jambojet haitui Tanzania, unawezaje kusema tunapigwa?
zuzu unaropoka tu wakati Jambojet ina-mint losses pia kila anapogusa KQ ni loss, PW loss, SAA loss, Congo airways loss na Jambojet loss pia!"Internal" fool
Akhsante Mzee. Wacha niite wivu battalion.Hii expressway naikubali!
and who was talking about loss or profit? Yani nyinyi mazuzu si mlianza kuruka angani juzi na midege cash and already your in a loss with midege being seized every corner of the world??? confused moffo🚮🚮🚮zuzu unaropoka tu wakati Jambojet ina-mint losses pia kila anapogusa KQ ni loss, PW loss, SAA loss, Congo airways loss na Jambojet loss pia!
Jamaa umepotea wapi😧😧😧Akhsante Mzee. Wacha niite wivu battalion.
cc joto la jiwe] ichoboy01 Sama boy 255 Lusematic Trubarg njooni muone Mtz ambaye hana wivu amekubali kwamba Nairobi expressway ni moto. Nyinyi endeleeni kuugua kwa wivu.
Kwahiyo serikali ya County sio Kenya?Hawa ni workers wa Nairobi county. Serikali kuu haistahili kuwalipa. Serikali ya county ndio inastahili kuwalipa.