The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Kingereza kingi hakitakusaidia, wewe nimekwambia pumzika.I always wonder what's wrong with these people, why buy planes when you can't built classrooms in your secondary schools? Why buy planes when only 37% of households are connected to electricity? Why buy planes when you still only have 9,000km of paved roads? Finally to make things very funny, they are busy buying planes yet their citizens has no capability to use those planes. They depend on foreigners to use the planes as they remain behind to cheer.
Tuliwaambia, mafisadi wataanza kumchukia mda si mrefu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]oyoo mama anakubali utararibu wa single sources kupata wakandari kwa kipindi hiki cha corona
Mwisho wa siku hamna team ya east Africa itafuzu kushiriki kombe la dunia..sote tunasindikizana tuhata kuwacheka naogopa[emoji23][emoji23][emoji23] wanatia huruma
View attachment 1970372
Tanzania tunauwezo wa kufuzu.Mwisho wa siku hamna team ya east Africa itafuzu kushiriki kombe la dunia..sote tunasindikizana tu
Wazanzibar hawapendi kujiita wadanganyika lakini wanawaongoza tu hadi 2035 alafu wajitoe muungano after kuwaibia[emoji23]View attachment 1970434
Anajaribu kutugawa tuu huyo, hana nyimbo.Kama umekosa cha kuongea mzee kasuuze vyombo huko
Mkivuka hii group bado kuna group nyingine ya heavyweights mnaeza patana na teams za west africa na north africa......niamini hamna team ya east africa au southern africa ina uwezo wa kucompete na hizo teamsTanzania tunauwezo wa kufuzu.
Mimi walinipa dozi ya kikombe kimoja tu...Walichukua mkonge wakauponda kwa kuwa walitaka niache pombe walichanganya na pombe ( beer) nakuchuja....Mimi aliyenipatia hiyo dozi ni mganga mmoja wa kihaya... Yeye akutaka kuniambia anatumia Mimi...Lakini Kuna Bibi wa Kihaya ambae ndo nimuanzilishi amekuwa akiwafundisha wengine....Mimi niliambiwa na mtu (Dada) anaemjua huyo Bibi wa Kihaya....
Kiukweli kwa hiyo dawa ukinywa Ina surmmarise maisha yako yote toka umezaliwa na kuwa Kama mtoto...Kiufupi nikama in flash ubongo wako....Ni dawa nzuri Sana....
huwezi kujua anything is possible imagine Madagascar imeifunga DR Congo tena walikuwa wanawapeleka puta! Football is about right strategy! Our women team has really been a motivation to men's team!Mkivuka hii group bado kuna group nyingine ya heavyweights mnaeza patana na teams za west africa na north africa......niamini hamna team ya east africa au southern africa ina uwezo wa kucompete na hizo teams
Hamna groups sasa hivi Timu 10 zinapita alafu unapangiwa Timu moja ukishinda unaenda kombe la dunia hamna magroup tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkivuka hii group bado kuna group nyingine ya heavyweights mnaeza patana na teams za west africa na north africa......niamini hamna team ya east africa au southern africa ina uwezo wa kucompete na hizo teams
Tumkanyage Congo sasa[emoji7][emoji7][emoji7][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]View attachment 1970463
Tukiweza kupita hapa ..i hope tutapata timu rahisi..ikishindikana basiMkivuka hii group bado kuna group nyingine ya heavyweights mnaeza patana na teams za west africa na north africa......niamini hamna team ya east africa au southern africa ina uwezo wa kucompete na hizo teams
VP maindi kutoka Sudan yalifika🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yani bila donation hawa majamaa hawaendi
Madagascar wajitahidi angalau wapate droo ili tubaki hapo kwenye qualified for the next round.