Kukiwa na maana Congo wakishinda wanakuwa nafasi ya kwanza kwa point 8 huku Tanzania ikiwa nafasi ya pili kwa point 7![emoji1241][emoji1241][emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1434]View attachment 1970371
Kukiwa na maana Congo wakishinda wanakuwa nafasi ya kwanza kwa point 8 huku Tanzania ikiwa nafasi ya pili kwa point 7!
Hehehehehee mkuu naona unazidi kumshindilia kisu cha tumbo tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata bajeti yetu ya elimu inaweza kununua ndege mpya kila mwaka bila kupumzika, na tunaweza pia bila kutumia hiyo pesa ya bajeti ya elimu kununua ndege 16 ndani ya miaka 5 kama tulivyofanya, kuanzia 2017 mpaka leo tumeshanunua ndege 16 brand new, 11 zimeshatua, that means sisi tupo vizur, kwanini usikubaliane na ukweli.. heb niulize ni taifa gani hapa EA inaweza shindana na sisi.? With in just 5 years, tumenunua ndege 16 cash, na hakuna sector yoyote inayumba na tuna miradi mikubwa kibao tunaendesha ndani ya mda huo huo, kweli sisi sio EA superpower.?
Madagascar wajitahidi angalau wapate droo ili tubaki hapo kwenye qualified for the next round.i hope watafungwa ili wabaki na points 5..
tunatakiwa tuwafunge madagascar kwao na DR Congo magoli mengi.. sisi na Benin tunafanana kila kitu hadi magoli.. walitufunga kwetu kwa moja, na tumewafunga kwao kwa moja..
Madagascar wajitahidi angalau wapate droo ili tubaki hapo kwenye qualified for the next round.
Boeing mbili ni dreamliner na ya mizigo.Dreamliner ni Boeing pia..sasa anamanisha boeing ipi...? ya mzigo yenyewe ni Boeing 767 freighter ..labda tupitie budget au tusubir ijayo
Hivi unajua umaskini wakushindwa kujilisha una aibu kiasi gani?Kama mngekuwa na pesa mngenunua chakula na sio kupewa msaada wa Chakula mtu anaekupa chakula cha msaada anaweza akakufanya chochote hata NYUMA! Mmae,hapana chezea njaa ww.Haina economy impact yyte hyo donatio wala treasury haihusiki na hyo donation..
Lkn nyinyi sasa, mnapewa mpka flyover donation..yani mumeshindwa kabisa kunyanyuka
Oya hawa wehu wameshinda leo? Sikutaka hata kuwatazama.Dah TAIFA STARS tumeshinda moja na tunarudi kwenye kuongoza kundi labda congo ashinde,,ila tulikamiwa
Amini amini amini[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Piga dua msela, kesha usiku na mchana huenda likakubaliwa mara hii
Kwani wewe kabila ganiPiga dua msela, kesha usiku na mchana huenda likakubaliwa mara hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kenya anakalia mwanzo mwishoKuna litimu limepigwa 6 away na limepigwa home pia. Lipo lipo tu with no point.
[emoji23][emoji23]
Tanzania external debt is only 40%, remember Tanzania's dept to GDP ratio is only 36%, while Kenya is almost 90%[emoji23][emoji23][emoji23]Now compare that with the 80% external debts that make up Tanzanian total debts.
Hakuna nchi inayopokea food donations duniani, labda nchi zenye civil wars or natural calamities, only Kenya, hata chakula hakuna, hiyo ni laanaNchi ya watu 60m mtapewajwe grants za miundombinu[emoji1787][emoji1787]