Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona unaweweseka mzee, naona umeanza kujishuku..ile ya sauz je?
New York of East africa
JamiiForums1414739844.jpg
 
Hehehe the person who said that Tanzanians use 1% of their brain to reason didn't lie. Kununua ndege ndio inakufurahisha? I have build the classrooms? What about teachers have your government recruited enough teachers to teach public schools?
Pumzika ushachoka, ushazeeka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii haijakaa sawa kabisa. $400 to more than 50M Citizens, $100 to less than 2M Citizens. Huyu mama nazidi kushindwa kumuelewa
Kuna watu wanamshangilia kwenye kupindisha sheria za manunuzi SGR lot 3 & 4 nadhani wanafikiria kule sawa ila kwenye mikopo atatumia 4% kisheria?
 
labda kweli kuna upendeleo, lakin tuongelee na impact ya covid kati ya Bara na Visiwa. pia hizo $100m watarudisha zanzbar wenyewe au Tanzania kwa ujumla
Tanzania ndio itarudisha, Hivi unajua hata boom visiwani ni 100% na hamna riba? Tax ya kuingiza bidhaa mfano gari kule ni 60% ya Bara. Ufisadi uliopo Zenji hua hauwekwagi wazi ila ni mkubwa kinyama. Hawa watafaidi kama Hong Kong kisha waanze kudai uhuru
 
Hakuna nchi inayopokea food donations duniani, labda nchi zenye civil wars or natural calamities, only Kenya, hata chakula hakuna, hiyo ni laana
Nchi inapewajwe grants za miundombinu[emoji1787][emoji1787]
Eti donar kantri[emoji2960][emoji2960]
 
Back
Top Bottom