Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hii kitu .. zero age imenifanya niwaze kuwa serikali inatumia hela nying sana.. nimecompare na vile najaribu ninunue gari kali la zero km (0-1000km) afu nakuta inakuja hela ndefu sana
afu hesabu nyingine zinakuja.. hio hela ndefu si bora ninunue vitoy vingine kama vitatu hiv
View attachment 1968601
Given a fact, gari inashuka thaman bada ya kununua tu...ila jilipue sio mbyaa
 
Hii kitu inaniumiza Sana, natamani huu MUUNGANO uvunjwe tu Kila mmoja akae kwao, Yaani wazanzibari wanajiona ni unique Sana kuliko watanganyika,sipendi hii inshu kabisa.mzanzibari anatawala huku bara na visiwani,Ila mtanganyika haruhusiwi kununua hata kipande cha ardhi Zanzibar.
Wacha uongo buda, Unajuwa kuwa Ali Hassan Mwinyi ni Mtanganyika wa kuzaliwa baba na mama kaja Zanzibar kulelewa na kawa Rais wala hujamsikia yeyote kulalamika. Mwanawe ni Mzanzibara Mama mzanzibari na Baba Mbara ni Rais wa Zanzibar mkewe Mbara na wala hakuna anaelalamika. Iweje mtu awe mpaka rais lakini asiruhusiwe kumiliki ardhi. Tuondolee unafiki hapa. Kinachokuumeni ni Mzanzibari kuwa Rais wa Tanzania na ni mara ya kwanza tokea uhuru kutokea.
 
DOM

IMG_1803.jpg
 
Ndani ya muda huo huo wa miezi mitatu tukazindua kituo cha haki (mahakama) ndani ya capital city View attachment 1968569Serikali bora zaidi Africa mashariki na kati, ikazindua ujenzi wa majengo 24 yenye gorofa kuanzia sita Hadi kumi na moja ndani ya mji wa serikali (Magufuli City) View attachment 1968564View attachment 1968565
2958046_dodoma_zone__1633714756284492.jpg
. . Sigusi upande wa barabara, tuishie humu kwanza.. swali langu kwako bro The best 007. hiv huoni kwamba sisi tupo humu kuwapa moyo tu hawa jamaa zetu wa kenya akina Tony254 .. NB, miradi yote niliyopost imefanywa na serikali sikuvu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

View attachment 1968566
Mnawapa moyo ama mnawapa ugonjwa wa moyo? Huoni maudhurio yap ni hafifu siku hizi usije kukuta wamekata moto kwa pressure.
 

Tanzania: Banana trade deal might trickle down to other crops​

A trading initiative by the Nairobi-based Twiga Foods Company and a large group of banana growers, spearheaded by the Kilimanjaro-based Mackjaro Company, could bring a new impetus to the banana industry in Tanzania. Twiga Foods, which distributes fresh fruits and vegetables in cities all over Kenya, has pledged to buy bananas from Tanzania.

Undoubtedly, commercial banana cultivation has the potential to bring in millions in foreign exchange, and also remain a staple in much of the country. That is why the Twiga Foods/Mackjaro initiative is a blessing-in-disguise of sorts not only for our banana farmers, but also for the economy at large in terms of fobs creation, value-addition and incomes generation.

Source: thecitizen.co.tz

Publication date: Fri 8 Oct 2021
 
lakini tz mnajipenda sana.... yani, 22likes kwa hii barabara tu!🤔🤔. tena kwa hii hii thread 'Dar vs Nbi'.. ingekua sisi ingepata like mbili ama tatu ivi.. sisi hatujali saaaana..
Screenshot_2021-10-09-00-34-20-54.jpg
 
lakini tz mnajipenda sana.... yani, 22likes kwa hii barabara tu!🤔🤔. tena kwa hii hii thread 'Dar vs Nbi'.. ingekua sisi ingepata like mbili ama tatu ivi.. sisi hatujali saaaana.. View attachment 1968728
bruh these the same people celebrating because they bought 2 planes. it's in their psyche to get tickled by small things.
 
Back
Top Bottom