RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,875
- 129,881
Pamoja mkuuNext time Boss.![]()
Pamoja mkuuNext time Boss.![]()
Kenya kikundi kinajiita MRC kilijaribu huu ujinga eti 'Mombasa sio Kenya' walikipata cha mtema kuni.Hii kitu inaniumiza Sana, natamani huu MUUNGANO uvunjwe tu Kila mmoja akae kwao, Yaani wazanzibari wanajiona ni unique Sana kuliko watanganyika,sipendi hii inshu kabisa.mzanzibari anatawala huku bara na visiwani,Ila mtanganyika haruhusiwi kununua hata kipande cha ardhi Zanzibar.
Ila sisi Tanzania bhana tuna hatari sana, heb cheki ndani ya miezi mitatu tu tumeingiza/tumepokea ndege aina ya Air bus tulizonunua kwa pesa zetu mbiliView attachment 1968520View attachment 1968521View attachment 1968523ndani ya miezi hiyo hiyo tulipokea mabasi 70 ya BRT system. . Haitoshi ndani ya miezi muda huo huo tena tukapokea behewa za treni 44 . Vichwa vyake hivi Apo chini 👇View attachment 1968533View attachment 1968535View attachment 1968538... Tony254 njoo uku bro ujifunze kitu, sisi sio size yenu tena ikija kwenye suala la usafiri na usafirishaji..
Alaf unaskia estate nzima inamilikiwa na investor mmoja au politician 🤣🤣🤣 nimeshangaa kuskia kirubi alone anamiliki estates zenye thamani ya 40b ksh
Ww ilitaka setekali isomeshe wazazi???Danganyika wanawake hawana haki kama AfghanistanView attachment 1967664
Kuibali sio tatizo je mikataba yake🤣🤣🤣Hii expressway naikubali!
Ila sisi Tanzania bhana tuna hatari sana, heb cheki ndani ya miezi mitatu tu tumeingiza/tumepokea ndege aina ya Air bus tulizonunua kwa pesa zetu mbiliView attachment 1968520View attachment 1968521View attachment 1968523ndani ya miezi hiyo hiyo tulipokea mabasi 70 ya BRT system. . Haitoshi ndani ya miezi muda huo huo tena tukapokea behewa za treni 44 . Vichwa vyake hivi Apo chiniView attachment 1968533View attachment 1968535View attachment 1968538... Tony254 njoo uku bro ujifunze kitu, sisi sio size yenu tena ikija kwenye suala la usafiri na usafirishaji..

.. zero age imenifanya niwaze kuwa serikali inatumia hela nying sana.. nimecompare na vile najaribu ninunue gari kali la zero km (0-1000km) afu nakuta inakuja hela ndefu sana 

hawa jamaa timu zao za mpira wanatia huruma.. kila sehem wanapigishwa vichapo
Bado unangojea construction board😂Kuibali sio tatizo je mikataba yake🤣🤣🤣
Bila mchina kuweka pesa zake na kuimiliki miaka 30 unafkiri mungepata hio mdoto ?🤣🤣🤣 alaf jubilee inawadanganya ni pppBado unangojea construction board😂
hatariIla sisi Tanzania bhana tuna hatari sana, heb cheki ndani ya miezi mitatu tu tumeingiza/tumepokea ndege aina ya Air bus tulizonunua kwa pesa zetu mbiliView attachment 1968520View attachment 1968521View attachment 1968523ndani ya miezi hiyo hiyo tulipokea mabasi 70 ya BRT system. . Haitoshi ndani ya miezi muda huo huo tena tukapokea behewa za treni 44 . Vichwa vyake hivi Apo chiniView attachment 1968533View attachment 1968535View attachment 1968538... Tony254 njoo uku bro ujifunze kitu, sisi sio size yenu tena ikija kwenye suala la usafiri na usafirishaji..