babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,302
- 35,722
[emoji23][emoji23][emoji23]
kwa kweli wanaweza kukulisha hata buti la jejeHiyo pombe inatengenezewa hadi ma mavi ya binadamu [emoji2957][emoji2957]kula chakula local kenya kunaitaji moyo sana,kama mtu umeenda kutembea ukirudi tz lazima ukacheki afya yako
ni mwendo wa kutengeneza mabom yakuhatarisha matumboPicha za ajali za nini au ndio desparation[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]View attachment 1967367View attachment 1967369View attachment 1967370View attachment 1967371View attachment 1967372View attachment 1967373View attachment 1967374View attachment 1967376
mwingine huyu kashakata tamaa ya life kitambo[emoji23][emoji23]Naona ni githeri inakusumbua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1967386
Kenya competes at world level, Athletics, rugby, volleyball, cricket, kibadi,Kenge huwa husikii hadi damu ikutoke.
Kwa hiyo mnataka kujifananisha na Tanzania kwenye mpira?
Hamjashinda hata gemu moja mnadroo hadi na Rwanda [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie kwenye mpira ni farmer's league.
Usisahau pia kuwa timu ya taifa ya wanawake Tanzania leo imefuzu fainali kwenye kombe la COSAFA.
Hivi una habari kuwa bondia namba moja Africa anatokea Tanzania?
daaah!!!manyumba zimepangana Safi Kama mahindi😸😸😸alafu mbongo mmoja aingie na picha hazieleweki😄😄😄
Mbona wako wengi tu bongo😄😄😄mwingine huyu kashakata tamaa ya life kitambo[emoji23][emoji23]View attachment 1967559
alafu ukute huyo ni omba omba toka huko kweni sababu wamejaa mjini balaa adi wanazinguamwingine huyu kashakata tamaa ya life kitambo[emoji23][emoji23]View attachment 1967559
Tanzania is always a looser in any sport, [emoji16]