Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatizo lenu Kenya hakuna kipya. Ninawahurumia sana. GDP yenu imeshindwa kabisa kuondoa tatizo la njaa!?
Tumepanga hiyo Kenya iwe part ya United Republic of Tanzania. Wewe umasemaje!?
Tatizo la njaa ni la muda tu. Jinsi tunavyozidi kukuwa kiuchumi ndivyo tunavyozidi kupunguza njaa na umasikini. Baada ya miaka kumi hutasikia tatizo la njaa Kenya.
 
Kwani wewe unapofikiria Human development huwa unafikiria nini? Tuanzie kwenye education and research kwanza kabla hatujaenda kwingine what does Qatar has to show off on its human development in this specific area?
 
Kwani wewe unapofikiria Human development huwa unafikiria nini? Tuanzie kwenye education and research kwanza kabla hatujaenda kwingine what does Qatar has to show off on its human development in this specific area?
Umechelewa, huko nmetoka., wewe tuelimishe kile unacho jua..,
 
Hapa kwa bridges za over water kama hili na lingine under construction, nawavulia kofia malazy.., ila msipige kelele sana.., ndio mnaanza kuamka.., mwendo ni mrefu sana.., niko hapa kuumbua propaganda na kuponda panapo pondeka 😂 😂 😂 , sio vita watani., mjadala tu
 
Ubungo eti [emoji14] [emoji14] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hapa pako hivyo hivyo unavyopaona, hakuna lipstick hapo, patamu sana hapo, nilipita nikajifeel kuongeza umri wa kuishi aiseee, waafrika tupambane kupendezesha miji yetu[emoji116][emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…