Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wee town ice... Ndo mnyama gani huyo? 😂 😂 😂 😂 Wazee wa kujua kila kitu! 😁
 
Haha, wewe jamaa Peleka story zako kwingine, na ukumbuke ni hiari ya mtu so wewe ka hujuski, tulia na uache kusambaza false info usizokuwa na concrete evidence nazo
Unataka kusema National Institutes of Health walioamua kufanya uchunguzi baada ya kuongezaka taarifa kuwa kuna wanawake wanapata matatizo za hedhi baada ya chanjo ni "false info"?
 
Hahahaha, unachekesha mkuu, inaonekana akili yako ni kubwa kuliko dunia nzima walikubali kuchanjwa, wataalamu wote duniani waliokubali kutumika kwa chanjo hawana wajualo na unawazidi wewe kwa akili [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna wataalamu wengi tuu wanaopinga hizi chanjo za mRNA.

Umejiuliza kwa nini WHO bado wanafanya review ya Sputnik (Russia) na Novavax (US) lakini zile za mRNA walizi approve chap chap?

Hata Tanzania kuna yule mama mtaalamu wa magonjwa ya kuambukiza aliliongelea hili la mRNA pale TBC.

Tatizo wataalamu wengi wananyamazishwa. Watu wakihoji wanashambuliwa, eti "follow the science" which one? Political? Wewe hujiulizi tuu kwanini hawataki hata kufanya serology test? Yaani leo immunology imekuwa redefined kirahisi rahisi tuu, bila hata ya paper yoyote?
 
Nipe mfano na price list ya guest houses za Nairobi unazolipia usiku tena mchana unalipia tena. Usually ni 24hrs per single pay, hiyo yako itakuwa ya kwanza tangu nzaliwe kuiskia! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Hizi data wee Kama unashinda state house au una maisha Kama ya state house, huwezi kufaham mambo haya. Tunajua sisi wazee wa kujichanganya kitaaaa
 
Kaka, haya Mambo Kuna watu waliokabidhiwa majukumu na mamlaka lazima tuheshimu hilo, kwanini kuingilia vitu ambavyo huna weledi navyo?, Kujua Mambo machache katika hilo eneo haikupi uhalali wa kuzungumza Kama mtaalamu.
1)Ni chanjo ipi duniani iliyotolewa baada ya kufanya serological test?, hivi unajua gharama ya kufanya serological test Moja?, hivi ujajua ni pesa kiasi gani itatumika na muda gani kuwamaliza watanzania wote?
2)Duniani kote chanjo zote hutolewa kwa watu wote bila kujali kwamba ni sero-positive au sero-negative, hilo unalotaka wewe limeshafanyika wapi?.
3)Habari ya mRNA, huko inaonekana huna unalojua unajaribu kupapasa tu, haina uhusiano wowote na tunachozungumza. Chanjo inaweza kutengezwa kwa kutumia ama
1)Genetic material ya Virus(mRNA)
2) Outermost cover of virus
3)Kirusi kizima kilichovunjwa nguvu(attinuated virus)
Haijalishi ni material gani yametumika, lengo ni kuamsha kinga ya mwili, Sasa wewe kutumika kwa Genetic material kunakupa shida gani, tena chanjo zilizotengenezwa kwa kutumia Genetic materials ni salama zaidi kuliko zilizotumia "Live viruses".

Kaka wacha kuchezea "professions za watu, Baki kwenye eneo lako utaeleweka na kufanya vizuri zaidi, Mambo ya Afya waachie WHO na Wizara ya Afya tafadhali.
 
Watanzania kwa ushamba wenu huwa mnadhani kukopa ni makosa. Anayekopa kujenga barabara na anayejenga kwa kutumia pesa ya ndani tofauti iko wapi? Mimi sioni tofauti isipokuwa pengine anayekopa atalipa interest on debt baadaye. Lakini hakuna tofauti kubwa kama mnavyofikiri.
 
Kaka, haya Mambo Kuna watu waliokabidhiwa majukumu na mamlaka lazima tuheshimu hilo, kwanini kuingilia vitu ambavyo huna weledi navyo?, Kujua Mambo machache katika hilo eneo haikupi uhalali wa kuzungumza Kama mtaalamu.
Lazima watu wenye akili wahoji wakiona mambo hayaendi sawa, survival rate ya Corona ni zaidi ya 99%, hiyo nguvu ya kulazimisha watu wachanje inatoka wapi?
1)Ni chanjo ipi duniani iliyotolewa baada ya kufanya serological test?, hivi unajua gharama ya kufanya serological test Moja?, hivi ujajua ni pesa kiasi gani itatumika na muda gani kuwamaliza watanzania wote?
Nilichosema ni wao kukataza madaktari kufanya serology test kutumika kama uthibitisho wa kinga.
2)Duniani kote chanjo zote hutolewa kwa watu wote bila kujali kwamba ni sero-positive au sero-negative, hilo unalotaka wewe limeshafanyika wapi?.
Si kweli, kwenye chanjo (m.f polio) huwa wanauliza kama ulishawahi kuugua, hii ni kupunguza uwezekano wa kuja kuwa na hyperactive immune system.
3)Habari ya mRNA, huko inaonekana huna unalojua unajaribu kupapasa tu, haina uhusiano wowote na tunachozungumza. Chanjo inaweza kutengezwa kwa kutumia ama
1)Genetic material ya Virus(mRNA)
Ha ha, nitajie chanjo moja tuu ya mRNA iliyowahi kutumika kwa binadamu wengi kabla ya hizi za corona.
2) Outermost cover of virus
3)Kirusi kizima kilichovunjwa nguvu(attinuated virus)
Hizi hazina tatizo zimetumika kwa miaka zaidi ya hamsini.
Haijalishi ni material gani yametumika, lengo ni kuamsha kinga ya mwili,
Kwa hiyo wakiweka nanoparticles na mercury zinazoganda kwenye ovary za wanawake wewe huoni shida?
Sasa wewe kutumika kwa Genetic material kunakupa shida gani,
Ni kwasababu genetic material inaendelea kizazi hadi kizazi, kama wangechagua watu wachache wamajaribio, haina shida lakini watu wote, hapana.
tena chanjo zilizotengenezwa kwa kutumia Genetic materials ni salama zaidi kuliko zilizotumia "Live viruses".
Really, leta paper tuisome.
Kaka wacha kuchezea "professions za watu, Baki kwenye eneo lako utaeleweka na kufanya vizuri zaidi, Mambo ya Afya waachie WHO na Wizara ya Afya tafadhali.
Jibu swali langu kwanza, tangu lini natural immunity imekuwa haiaminiki?
 
Tony, tatizo kubwa linaloikumba dunia kwa sasa, Karibia nchi zote, hata nchi zilizoendelea ni mzigo wa madeni, Greece, Spain, Ureno, zinasumbuliwa na mzigo wa madeni hadi wanaomba kusaidiwa na wenzao wa EU.

Haijalishi umekopa kwa ajili gani, deni linakupunguza nguvu kufanya Mambo yako, riba ni kubwa na mara nyingi miradi inayotumika haitengenezi pesa haraka ili kurudisha deni ndani ya muda muafaka.

Ukidaiwa unapoteza ujasiri na uhuru wa kupanga Mambo ya maendeleo, deni sio kitu cha kukimbilia, Kama una uwezo wa kufanya miradi yako bila kukopa ni Bora zaidi.
 
Waswahili tunasema, "cha mtu mavi, ukikiona kiteme mate". Tofauti ya pesa ya kukopa nje kama hiyo barabara yenu ni kuwa nguzo za uchumi kama bandari ya Mombasa zinakuwa rehani.
 
Taja ni ugonjwa upi duniani uliotokomezwa kwa "hard immunity pekee?"

Lete ushahidi, "Clinical evidence" iliyothibitisha kwamba chanjo zenye kutumia "Genetic materials" zimesababisha madhara, taja hayo madhara.
 
Sasa mbona unaniuliza swali kabla ya kunijibu swali langu hapo juu? Wewe umedai kuwa zipo chanjo za mRNA, nikakuuliza nitajie chanjo moja tuu ya mRNA kabla ya hizi za corona, naona unaruka ruka tuu.
 
Kuhusu chanjo ya polio kuulizwa Kama ulishawahi kuugua kabla hujachomwa sindano, hata chanjo ya Corona kabla ya kuchanjwa unauliza, hiyo ni kawaida, ila wewe unalazimisha eti kufanyike serological test, Jambo ambalo halijafanyika duniani na halina maana yoyote.

Kama tatizo ni kuepushe hyper immunity reaction, vipi mtu ambaye alishatengeneza antibodies kutokana na kuugua siku za nyuma akipata maambukizi mapya?.

Hakuna contraindication yoyote ya kutompa mtu chanjo kwasababu tu tayari ametengeneza antibodies.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…