Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hoja ya ufukara kwanza ondoa Kenya ufukarani ernomousπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ binti yake Raila alidanganya mchana kweupe kua Oldvai Gorge iko Kenya,kwenye ndege zenu mliutangaza mlima Kilimanjaro Kama uko Kenya thank to Kikwete Regime walipointervene mkaanza kusema karibu Kenya uone mlima KilimanjaroπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€tukapiga ban waendesha watalii kuja kutalii bure Tz eti wanaleta watalii.Tunaendelea kukaba kila Kona.
 
Hoja ya ufukara kwanza ondoa Kenya ufukarani ernomousπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€pili
mtoto wa Odinga alidanganya mchana kweupe kua Oldvai Gorge iko
Mtoto wa Odinga ni Kenya yote na serikali ya Kenya? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ wakenya walimfokea kwa mitandao., inaweza ikawa hajui hilo., wakenya wengi hawaijui Tanzania vizuri, they hardly follow Tanzanian issues save Diamond na wengine kama yeye na Magufuli pengine ndio alifanya watu wakajua kuna jirani inaitwa Tanzania.., kwa ufukara imedhihirika wazi nyie ni kati ya taifa tatu Africa yoote kwa idadi kubwa ya watu walio fukura wa kutupwa, picha za kibera zisikakudanganye kaka nyie hohe hahe πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ,
 
sishangai tanasha Dona alikuja kuzaa na diamond kwaajili ya kutafuta unafuu wa maisha pure LDC
 
Sasa hizi tofauti ndio zinafanya Tanzannia iwe bora, inaitwa blind patruiotism, una wivu tu nan nchi yako, hakuna lingine.,
Majibu yako, mbali na fikra zako za kipropaganda

Ghaniann experiance
 
Hahaha ulikuja kufanya nini Nairobi kama Dar ni better?
 
Kabla jogoo hajawika TZ itakuacheni kiuchumi numbers don't lie bila shaka unajua in 1990's we almost depended on you for sufuria's Salt,matches,nk. But today the story is different,Very son tunawaondoa kwenye mashamba yetu ya chai na paper industries cause tumegundua nyie ni Madalali tu sio wamiliki Kama tulivyodhaniπŸ˜€πŸ˜€tuliamini ni ndugu zetu wanawekaza kumbe ni middlemen the real owner are Whitemen tunawanyang'anya
 
Sasa hizi tofauti ndio zinafanya Tanzannia iwe bora, inaitwa blind patruiotism, una wivu tu nan nchi yako, hakuna lingine.,
Majibu yako, mbali na fikra zako za kipropaganda

Ghaniann experiance
Sawa Kama ni propaganda it's ok, lakin zina ukweli. Kwa mfano kuruhusu Mirungi..... Ndo kuendelea?
 
Hahaha ulikuja kufanya nini Nairobi kama Dar ni better?
Tanzania kwa ujumla ni nchi nzuri Sana hapa Africa, ukiacha vitu tulivyobarikiwa Kama madini, ardhi yenye rutuba na maziwa makubwa, Nyerere alijenga misingi imara ya umoja, amani, mshikamano, nidhamu na upendo miongoni mwa raia, tunaishi kwa amani na utulivu licha ya kwamba nchi yetu ni kubwa na Kuna makabila mengi. R.I.P JK Nyerere
 
Mji was serikali ndio gani mzee???what is "Modern bus terminals"???
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hadi Sasa katika hiyo miradi ambayo serikali yenu inajenga kwa pesa ya ndani imeshatoa kiasi gani?[emoji23][emoji23][emoji23]
There's nothing like pesa ya ndani bongolala!!!the late magufuli lied to the media that atcl was making alot of profit without any data statement revealed,,but recently I saw mama Samia saying again that that dead airline can was just a loss making one?
 
Kutana na infrastructure za aina tano ambazo zinapatikana Tanzania tu miongoni mwa nchi zote zilizopo ukanda wa Africa.. Don YF njoo hapa we pumbu.. πŸ‘‡ . . BRT system 2 phases . 2nd phase . Modern bus terminals . . .. hizi ni modern infrastructure ambazo vipo tz tu na Kenya hakuna, sasa nani ni waporini kenya au tz .?
 
Sasa hawa waja hawataki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tuliwaambia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…