mambo ya Kenyatta family imekaririwa miaka mingi sana kwa media na hata kwa one presidential debate aliulizwa, Kenya sio Tanzania, waliuliza mwenye kuibiwaq ardhi ajitokeze, ilikua willing seller willing buyer, kwa wakati ule waafrika wengi hawakua wamesoma, so I believe walio soma took advantage na kuuza mashamba yao kwa bei ya kutupa, Moi ndio alinyakua mashamba kwa wingi, amepekekwa kotini sio mara moja na kupoteza ardhi, besides kama Kenyatta family waliiba, itakua ni mzee wao, lakini kutokana na kidogo mzee alichukua wamefanya biashara na kupanua mali yao, kosa liko wapi?.,. Kenyatta inaibia wakenya vipi?..., propaganda mnazoeneza haotobadilisha ukweli, mko hovyo zaidi.., yaani eti hamuna ufisadi, uwizi wala mchafuko na bado nyie fukara, huo utaita ni nini? laana ama ujinga wa kiaina?Liberal media gani inashindwa kufunua wizi unaofanywa na viongozi wenu wakiongozwa na Kenyatta Family?
Serikali ya Kenya huwa haijengi miradi nyingi kwa pesa ya ndani ila ninajua mbili kubwa inayojenga kwa pesa yake ya ndani. Konza city na Lamu port. Kwa hivyo mradi huu unajengwa kwa pesa yetu ya ndani. Barabara, reli na miradi mingine ndio huwa yanajengwa kwa mikopo.Serikali yenu imetoa pesa kiasi gani?[emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea kuishi kwa kukalili,Tz is moving faster and strategitically Zamani mlitumia ujamaa kuharibu brand ya Tanzania the reason mkawa host wa international organization and companies,mkaudanganya ulimwengu kuwa TZ sio mahali salama,mkasema East Africa ni Kenya but now hakuna hiyo room,Utalii ulionekana ni Kenya lakini leo flight zinatoka duniani zinatua Dar es Salaam,KIA au Zanzibar moja kwa moja.Kitu mlichobaki nacho ni kuchukua Raw materials Tz na kuweka nembo za Kenya but trust me very soon TZ will curb that.Tz ingekua inafanya rebasing ya GDP Kama Kenya huenda tungekuwa USD$150 bilnπNyie mko na electric sgr kweli ama iko U\C? π π ., the point is neither electric nor diesel, it is SGR, a modern rail infrastructure., na inafanya kazi tena double stalk., tuko na superhighway, same function, to ease transport within the city, active faster commuter rail., BRT is just another side of the same coin you idiot., each has it's pros and cons.., two serious Cities, Tz ni one Dar pekee, sehemu nyoote makapuku wa mashambani mmekimbilia ili kutafuta maisha.., KQ inaruka sehemu nyingi duniani, hadi marekani., ATCL imekomaa route za dala dala.., we became lower middle income ahead of you in 2014., nyie mmefika mwaka jana, tena mko kwa mlango, yaani kwa huu mtikiso wa covid19 mmeporomoka hadi LDC tena, ama hauna taarifa π π π ., we had a 60,000 stadium in 1986., nyie bado mnashangaa shangaa na yenu ya juzi tu, mishamba, zoea maendeleo kaka., kenyan ports income ni karibu mara tatu ya zenu tokea zamani., Kenya has the longest road network in africa outside South Africa, kama unaelewa maana ya network.., n.k. mko way below.
Serikali ya Tanzania ndiyo imepewa dhamana ya kusimamia pesa yetu na kuwekeza katika miradi yenye kuwasaidia wananchi.Alafu nyie raiya mnabakia kukuwa vibaraka kwa serikali yenu na kwa matajiri waarabu na wahindi, nyie raiya hamna semi, CCM imewashika akili, matajiri wanafaidika na miradi nyie ni kushangilia tu humu, BRT inawafanya mfike kazini kwa waarabu na wahindi kwa haraka na mapema ili wafaidike zaidi, wakati mishahara ni ile ile ya kiutumwa, hamuepuki udfukara, afadhali ubepari, mnabakia kuishi kwa hizo dream houses zenu zilizo tapakaa 90% ya Dar., pengine uwe na kipaji kama Diamond hivi ama wa kujituma kibiashara, mko hovyo
so if UAE diplomatically decides to donate inamaanisha nyie sio LDC? ama Kenya eti ni LDC π π π π π UAE imeendelea kushinda Tanzania mara elfu na nyie mko na nchi kubwa yenye rotuba na madini kote kote, huoni ni aibi zaidi kwenu? anagalau kenya ni desdert 80%.., nyie je? laana!
Hadi Sasa katika hiyo miradi ambayo serikali yenu inajenga kwa pesa ya ndani imeshatoa kiasi gani?[emoji23][emoji23][emoji23]Serikali ya Kenya huwa haijengi miradi nyingi kwa pesa ya ndani ila ninajua mbili kubwa inayojenga kwa pesa yake ya ndani. Konza city na Lamu port. Kwa hivyo mradi huu unajengwa kwa pesa yetu ya ndani. Barabara, reli na miradi mingine ndio huwa yanajengwa kwa mikopo.
naona pooovu kubwa Sana[emoji851][emoji851][emoji851]kimewanasa kidude hakichomoki Hadi ikulu aibu naona Mimi mnapitwa hadi na burundiso if UAE diplomatically decides to donate inamaanisha nyie sio LDC? ama Kenya eti ni LDC [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] UAE imeendelea kushinda Tanzania mara elfu na nyie mko na nchi kubwa yenye rotuba na madini kote kote, huoni ni aibi zaidi kwenu? anagalau kenya ni desdert 80%.., nyie je? laana!
Kila mwaka idadi ya fedha inaongezeka au kupungua lakini kwa jumla, Lamu port imepokea around ksh 40 billion baada ya miaka 5 ya ujenzi. Konza city imepokea around ksh 30 billion baada ya miaka 3 ya ujenzi.Hadi Sasa katika hiyo miradi ambayo serikali yenu inajenga kwa pesa ya ndani imeshatoa kiasi gani?[emoji23][emoji23][emoji23]
pole LDC[emoji41][emoji41][emoji41][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]so if UAE diplomatically decides to donate inamaanisha nyie sio LDC? ama Kenya eti ni LDC [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] UAE imeendelea kushinda Tanzania mara elfu na nyie mko na nchi kubwa yenye rotuba na madini kote kote, huoni ni aibi zaidi kwenu? anagalau kenya ni desdert 80%.., nyie je? laana!
Sasa unaona propaganda, kusingizia Kenya eti ndio tatizo la kutoendelea kwenu, nyambaff., weka facts Kenya ilidanganya ulimwengu kuhusu Tanzania! π π π π , viongozi wenu wameshindwa kuwaondoa kwenye ufukara wanatafuta pakutokea so wanatumia Kenya kama excuse., kijana chunguza mambo kabla ya kukurupuka π π π π leo hii ni dunia imekua global village, with advancements in technology taifa za kishamba kama akina Tanzania mnaonekana sasa, watu wanajua kuna nchi inaitwa Tz, na pia mnaitazama dunia yoote na kuiga yale mnayaona, hayo maendeleo yenu kidogo kwa sasa ni effect ya globolization kwa wingi wala sio eti ni nyinyi la, ni impact la sivyo mngekua mlivyo kua tokea zamani sana..,Endelea kuishi kwa kukalili,Tz is moving faster and strategitically Zamani mlitumia ujamaa kuharibu brand ya Tanzania the reason mkawa host wa international organization and companies,mkaudanganya ulimwengu kuwa TZ sio mahali salama,mkasema East Africa ni Kenya but now hakuna hiyo room,Utalii ulionekana ni Kenya lakini leo flight zinatoka duniani zinatua Dar es Salaam,KIA au Zanzibar moja kwa moja.Kitu mlichobaki nacho ni kuchukua Raw materials Tz na kuweka nembo za Kenya but trust me very soon TZ will curb that.Tz ingekua inafanya rebasing ya GDP Kama Kenya huenda tungekuwa USD$150 bilnπ
Nakwambia hivi mzee baba, MGR haitokuja ibadilike jina..Haijalishi sio MGR tuu bali ongezea efficient continuous welded MGR with possibility of electrification in the near future since iko in parallel alignment with SGR. Miundombinu yote ya umeme imeshafanyika kwa sgr ni kufanya connection to to mgr ambayo itahusisha errection ya poles for catenary cables.
Wacha kelele, soma ripoti ya tume iliyoundwa na bunge lenu ili kuchunguza dhuluma iliyofanywa na viongozi wenu baada ya Uhuru katika kujinyakulia ardhi(Ndungu's report), pia soma kitabu cha Ngugi wa Thiong'o cha "This time tomorrow", hujui kitu kuhusu historia ya Kenya.mambo ya Kenyatta family imekaririwa miaka mingi sana kwa media na hata kwa one presidential debate aliulizwa, Kenya sio Tanzania, waliuliza mwenye kuibiwaq ardhi ajitokeze, ilikua willing seller willing buyer, kwa wakati ule waafrika wengi hawakua wamesoma, so I believe walio soma took advantage na kuuza mashamba yao kwa bei ya kutupa, Moi ndio alinyakua mashamba kwa wingi, amepekekwa kotini sio mara moja na kupoteza ardhi, besides kama Kenyatta family waliiba, itakua ni mzee wao, lakini kutokana na kidogo mzee alichukua wamefanya biashara na kupanua mali yao, kosa liko wapi?.,. Kenyatta inaibia wakenya vipi?..., propaganda mnazoeneza haotobadilisha ukweli, mko hovyo zaidi.., yaani eti hamuna ufisadi, uwizi wala mchafuko na bado nyie fukara, huo utaita ni nini? laana ama ujinga wa kiaina?
Tunaongelea Kenyatta family specifically.., unyakuzi uko, sipingi hilo.,Wacha kelele, soma ripoti ya tume iliyoundwa na bunge lenu ili kuchunguza dhuluma iliyofanywa na viongozi wenu baada ya Uhuru katika kujinyakulia ardhi(Ndungu's report), pia soma kitabu cha Ngugi wa Thiong'o cha "This time tomorrow", hujui kitu kuhusu historia ya Kenya.
Wingi wa vichochoro
Huoni aibu kwa nchi yenye kukusanya Kodi mara mbili ya Tanzania kutumia pesa kidogo wakati Tanzania katika mradi mmoja tu wa SGR ndani ya miaka 4 tumeshatoa zaidi ya $3BKila mwaka idadi ya fedha inaongezeka au kupungua lakini kwa jumla, Lamu port imepokea around ksh 40 billion baada ya miaka 5 ya ujenzi. Konza city imepokea around ksh 30 billion baada ya miaka 3 ya ujenzi.
Nimeanza kukudharau tayari, owky nyie mpo kwenye top 20 best universities in Africa sawa , vipi wakufunzi wenu wanaweza kutengeneza hata barabara.? Ikiwa kila siku gorofa zinaanguka huko kwenu, wakufunzi wenu sindio hawa wanamuuzia mchina nchi yenu mkiwa macho.? hiyo ni elimu bora.? Au unavyojua wewe elimu bora ni kujimwambafai kwenye top list kwa maneno tu na maandishi.? fala kweli we jamaa.. elimu bora ni matokeo ya ufanisi wake sio kelele, kampuni za kizalendo tz zinatengeneza karibu kila kitu njoo kwa ground uku ujifunze, tunazalisha viongizi bora wa mfano Africa, na hiyo ndio maana ya elimu bora.. Una elimu bora huwezi kujenga hata barabara ya km 10.? Elimu bora unaangusha magorofa kila asubuhi, una elimu bora unazalisha viongizi walevi kama Uhuru.? Nyie hamtuwezi kitu ni wapumbavu tuwewe ni mpuzi kweli., kwenye orodha ya elimu ya vyuo vikuu Africa hampatikani ata top 20., it's not about mere words or pictures u idiot, there are many factors to verify superiority of a thing.., infact video hampendi nyie, vuipicha mnaweka kiu propaganda tu., nimewafumania sana wewe jipe shughli hauna lolote la kuniambia wewe.,
Mzee Kenyatta ndiye aliyeongoza huo wizi wa ardhi, hiyo tume ilipendekeza ardhi yote hiyo ikiwemo ya familia ya Kenyatta na Moi zichukuliwe na kugawiwa upya kwa wananchi, lakini serikali ya Kenya imeshindwa kuitekeleza kwa sababu Kenyatta family is "Untouchable"Tunaongelea Kenyatta family specifically.., unyakuzi uko, sipingi hilo.,
Your comparison is off kabisa, reasoning with isolated cases π π π π ., find out why buildings collapse in Kenya.., kisha uje, na nani ni wajenzi., isolated cases can never be used to judge the whole u idiot., mko ovyo, ata umwage maneno millioni moja humu, haibadiliki, u are just another hurting blind patriot kisa Kenya is way ahead and aboveTanzania, ata waafrika wengine wa nchi nje ya EAC watakuambiaNimeanza kukudharau tayari, owky nyie mpo kwenye top 20 best universities in Africa sawa , vipi wakufunzi wenu wanaweza kutengeneza hata barabara.? Ikiwa kila siku gorofa zinaanguka huko kwenu, wakufunzi wenu sindio hawa wanamuuzia mchina nchi yenu mkiwa macho.? hiyo ni elimu bora.? Au unavyojua wewe elimu bora ni kujimwambafai kwenye top list kwa maneno tu na maandishi.? fala kweli we jamaa.. elimu bora ni matokeo ya ufanisi wake sio kelele, kampuni za kizalendo tz zinatengeneza karibu kila kitu njoo kwa ground uku ujifunze, tunazalisha viongizi bora wa mfano Africa, na hiyo ndio maana ya elimu bora.. Una elimu bora huwezi kujenga hata barabara ya km 10.? Elimu bora unaangusha magorofa kila asubuhi, una elimu bora unazalisha viongizi walevi kama Uhuru.? Nyie hamtuwezi kitu ni wapumbavu tu
Nyie mko na electric sgr kweli ama iko U\C? π π ., the point is neither electric nor diesel, it is SGR, a modern rail infrastructure., na inafanya kazi tena double stalk., tuko na superhighway, same function, to ease transport within the city, active faster commuter rail., BRT is just another side of the same coin you idiot., each has it's pros and cons.., two serious Cities, Tz ni one Dar pekee, sehemu nyoote makapuku wa mashambani mmekimbilia ili kutafuta maisha.., KQ inaruka sehemu nyingi duniani, hadi marekani., ATCL imekomaa route za dala dala.., we became lower middle income ahead of you in 2014., nyie mmefika mwaka jana, tena mko kwa mlango, yaani kwa huu mtikiso wa covid19 mmeporomoka hadi LDC tena, ama hauna taarifa π π π ., we had a 60,000 stadium in 1986., nyie bado mnashangaa shangaa na yenu ya juzi tu, mishamba, zoea maendeleo kaka., kenyan ports income ni karibu mara tatu ya zenu tokea zamani., Kenya has the longest road network in africa outside South Africa, kama unaelewa maana ya network.., n.k. mko way below.
Ona twende ground mzee, tuache hiz kelele..Your comparison is off kabisa, reasoning with isolated cases π π π π ., find out why buildings collapse in Kenya.., kisha uje, na nani ni wajenzi., isolated cases can never be used to judge the whole u idiot., mko ovyo, ata umwage maneno millioni moja humu, haibadiliki, u are just another hurting blind patriot kisa Kenya is way ahead and aboveTanzania, ata waafrika wengine wa nchi nje ya EAC watakuambia