Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa mlikuwa mnapigania Uhuru for countries 100Γ— more developed than Tanzania?? mko na shida kweliπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„no wonder mnajifukiza adi national hospital
Fukiza wao wote! 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
The fourth, fifth and sixth international airports are also coming up in Songwe, Mwanza and Dodoma.
 
Hakuna Cha Moto mzee, that's the reality πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„you mean nothing was happening in Tanzania while you were fighting for ukombozi???
Naskia kule SA waliikomboa kinomanoma... Duh! Ka ni mimi mwanilipa! Angalia SA sahi! 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Mlikuwa busy kujenga nchi, hivi ni nini mmejenga maana mbona hamna tofauti yoyote na nchi zingine za Africa?
Tena zingine zimewaacha mbali.
Wewe ndiye ulikuwa unatujengea nn, mbone unajifanya kujua yaliyokuwa yakitendeka wakati huo ilhali ulikuwa bado kikojozi au hukuwepo kabisa! Acha bange kijana! 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Kiswahili ni lugha yetu ya taifa inayotuunganisha Watanzania wote bila kuwa na ukabila wa kijinga kama failed state karne ya 21.
Ndio maana mchina anawagonga atakavyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawanaga ukabila eti, ata mm nimeona! 🀣 🀣 🀣 🀣
 
I thought wengine wenyu wako na akili kidogo Kumbe wote ni team yanga na Simba πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„.many cities across the world are struggling to creat green spaces around their cities and your here trolling !!!
Last time I checked, France was busy plating tress in their cities to reduce the heat, hadi parks za ku relax wana install AC pia, anyway kilaza ni kilaza tu, hata umsisitizie nn cha muhimu! 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Kwahiyo nairobi inatunza Green space [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Majengo hakuna ni spaces gn mnatunza hebu tuambie, mnatunza au zinajitunza hizo spaces [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ati zinajitunza... πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£






#greencityunderthesun πŸ‡°πŸ‡ͺ
 
Poor but hatupewi misaada ya chakula karne ya 21.

Ndio maana mnashindia mboga za majani [emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈ
HOW TO HELP PEOPLE IN TANZANIA | THE BORGEN PROJECT
The donation goes towards nutritious food, clean water, school and supplies and maybe even a goat for their family. A third organization to which you may want to consider donating is Solar Sister...

NB - hapo kwa 'even a goat'... πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hawa wazungu hawana adabu! 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…