chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,741
- 46,082
Kwahiyo Mungu ni marehemu?Hoja kama hii ni Kielezo tosha kuwa watanzania wengi elimu hawana. Tatizo liko wapi nikimuongelea marehemu? Mnaongea kuhusu Yesu na Mungu kila siku mmeshawahi kuwaona Kwa macho? Kama huwezi kuhumili hoja ya mtu mwingine endelea na mambo unayoweza kuhumili.
A big lie. Unless you don't have any idea of what GENDER and SEX mean OR you don't have idea of what EQUALITY and EQUITY mean!yes why not? some countries r taking the lead!
Unaomba reaction itokee lini mkuu nikutumie nauli uvuke sumbawanga ukarogeWakenya ndiyo viumbe pekee wapumbavu hapa duniani, angalia huu mtumbwi wamewejaza magali na watu kibao alafu reaction iki take place wanasingizia natural hazards [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1956601
Unaomba saba walau uone uswazi uliotapakaa kila sehemu lkn ziiView attachment 1956593
Jiji la Nairobi
Unaomba saba walau uone uswazi uliotapakaa kila sehemu lkn zii
Alafu km huna bando la ku view video hd kaa utue
Mmefukuzwa Rwanda, kunani jirani na mnadai hela ipo??? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tanzania removed from African Volleyball Championship
10/09/2021 Tanzania is understood to have failed to pay $1,000 participation fee and $50 per person per day for the 12 days meant for accommodation. A statement from CAVB said that the team's removal is in accordance...| The New Times | Rwanda
The New Times Publications SARL is a registered Rwandan private media outlet with hitherto publishes in English.It was established just less than years after the end of the 1994 Rwanda genocide and the return of over a million Rwanda refugees from mainly neighboring countries of Uganda , Burundi...www.newtimes.co.rw
Mchina aje, asije???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu jamaa alikuwa Rais kweli kweli,mpaka Sasa roho inauma kwa msiba wake😥R.I.P mwamba
Mbona hili swali hatuliulizi katika vipengele vingine Kama vile "Peace index?" au "Corruption perception index"" au " Economic reports" zilizoiweka Tanzania katika kundi la "Middle income countries?.Je, nchi zote "internationally" ziliruhusiwa kupeleka wawakilishi wao katika kutafuta hiyo tafsiri? Kama nchi zote hazikushirikiswa basi hiyo demokrasia inajikaanga kwa mafuta yake yenyewe.
Mkuu, Tanzania haina dini, hatuongozwi kwa misingi ya dini, ndio sababu tunatumia Katiba ya nchi ambayo inasisiriza usawa, kazi ya rais ni kuilinda na kuitekeleza Katiba ya nchi bila woga Wala haya.Huyo kiongozi anayetaka usawa maandiko anayoyaamini yanamkataza kutaka hicho kitu, so anataka kwenda kinyume na Mungu wake? Kitendo cha mwanamke kuzaa tu tayari ni gender inequality, sasa wafanye mpango wanaume nao wazae.
Maskini ya Mungu tanzania inakwenda wapi sasa ?🤔🤔🤔🤔🤔🤔
nooo people always complain thats why we even have a green belt movementWakati huo huo hyo green space ikichimbwa pajengwe jengo hao mnakimbilia Jf na twitter "the most beautiful and one of the most impressive in East and Central Africa"
Kulikuwa na demokrasia ipi wakati wa Nyerere? Kuwa na chama kimoja ndio demokrasia. Hakukuwa na democrasia wakati Nyerere wala wakati wa Mwinyi.; In general hakuna demokrasia hapa afrika bali kuna ka-uhuru kiduchu ka kudanganyia wananchi kwamba tuna demokrasia!Mbona hili swali hatuliulizi katika vipengele vingine Kama vile "Peace index?" au "Corruption perception index"" au " Economic reports" zilizoiweka Tanzania katika kundi la "Middle income countries?.
Vigezo na mfumo uliotumika ni uleule uliotumika katika kipengele cha demokrasia, vipi tunakubali na kujisifia pale "International reports zinapotuweka pazuri, lakini tunaanza kuwa na mashaka pale tunapoambiwa kwamba hatufanyi vizuri?
Kwa miaka yote Tanzania imekua ikiongoza katika kipenge cha Demokrasia, wengi tulikua hatuhoji, ila kipindi hiki tumeambiwa kwamba huko hatufanyi vizuri, tumeamza kulialia, katika kipengele cha demokrasia hatukufanya vizuri.
Kupanga ni kuchagua, tuliamua kujenga uchumi kwanza kwa gharama ya kufifisha demokrasia, ninadhani ni maamuzi sahihi, wakati mwengine ninayaunga mkono pia, ila tusikatae tunapoambiwa hatufanyi vizuri katika upande huo.
Nyerere alichagua kuanza kujenga demokrasia kwanza, matokeo yake uchumi uliyumba Sana, hatukupinga tulipokua tunawekwa katika kundi la nchi masikini zaidi duniani (LDC), lakini ktk demokrasia tuliwekwa juu Sana, vipi Sasa hivi katika uchumi tunawekwa juu lakini ktk demokrasia tunawekwa chini tunalalamika?