joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Demokrasia ni Jambo lililotafsiriwa na kukubalika" Internationally", kwahiyo lazima kuwepo na "standard definition" ambayo itatumika Kama "benchmark" ya kusema Kama kweli nchi Fulani imefikia kuitwa ni nchi yenye demokrasia.Demokrasia huwezi kuiweka kwenye kapu moja. Huwa inabadilika kutokana na muda na utamaduni wa watu katika sehemu husika.
Kuna nchi mwanamke anatakiwa kujifungia ndani wakati wote, kama wananchi wa nchi hizo wameikubali hali hiyo (kwa mama, bibi na dada zao) basi hiyo ni demokrasia kwao. Kuna nchi nyingine huo unaonekana ni unyanyasaji wa wanawake, wakati miaka 100 tuu iliyopita nchi hiyo hiyo ilikuwa hairuhusu wanawake kupiga kura.
[emoji55][emoji55]Barabara ya kupaka hyo[emoji1787][emoji1787]
Yani unaishi mtaa wa pili lkn huna budi kukatiza mpka mtaa wa tatu
hey, relax! kwani uko na share huku? must you reply everything with an insult??Why donโt you avoid it permanently? Jinga sana
Ondoa mafi yako hapa, wewe huoni kama Kenya nzima ni slums kushoto kulia.The best 007 ,the kind of reasoning you have speaks louder how your miserable life is,,how do you even know someone comes from slums? Should I also say all Tanzanians here including you are from tandale?
Sindano zimezidi wanabadili id [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3516] joined 25 sept, and all of his/her replies/comments are in this thread [emoji38]
Je, nchi zote "internationally" ziliruhusiwa kupeleka wawakilishi wao katika kutafuta hiyo tafsiri? Kama nchi zote hazikushirikishwa basi hiyo demokrasia inajikaanga kwa mafuta yake yenyewe.Demokrasia ni Jambo lililotafsiriwa na kukubalika" Internationally", kwahiyo lazima kuwepo na "standard definition" ambayo itatumika Kama "benchmark" ya kusema Kama kweli nchi Fulani imefikia kuitwa ni nchi yenye demokrasia.
No but its in the same metro area with Nairobi linked by a high speed highway. Zanzibar, bagamoyo can never be in the same metro with dar wacha kua jingaIs Thika and Nairobi in the Same County ?
what's strange about that Simon?so this is another ID!
you joined in Sept 25.. but you have been here since 2017?!
This is the kind of stupidity am talking about. So Facebook should only be used by Americans sababu ilianza USA. You are very stupid game over. Very stupid and your reasoning na hawa wenzako is the reason Tanzania still lags behind.Hehehe, then why are you always commenting here in a Tanzanian Forum,
Ni stress ama ni nini?
Hvi naomba kuuliza wanaposema wanawake wananyimwa haki zao ni kama hazi gani?Watu wanamtibua mama aisee! Kuna message mtu unaweza kuisoma kwenye hii speech!
MY TAKE
Aendelee kukaza #mfumodume# is real!!
and your here daily comparing the two cities ๐๐๐ don't you have other optionsOndoa mafi yako hapa, wewe huoni kama Kenya nzima ni slums kushoto kulia.
๐ฎ๐ฎ๐ฎwhy you have multiple accounts?
Wakat hela ya githeri mpaka akakope kwa mama njeri ๐๐๐๐๐Eti katuma mtu? Hahaha, watu wanajibebesha majukumu makubwa sana, kwamba katoa budget kabisa nenda Dar kapige picha tuchafue JF[emoji1787].
Jibu swali is thika and nairobi in same county??๐๐๐๐ munaiga system za america wakat kula yenu ya tabuNo but its in the same metro area with Nairobi linked by a high speed highway. Zanzibar, bagamoyo can never be in the same metro with dar wacha kua jinga
Mzee upo wapi? wanawake wangapi wanadhulumiwa mirathi ya waume zao Tanzania? Umiliki ardhi kwa wanawake ukoje in general? Huko Usukumani ukiwa mjane wanakuzushia uchawi na kukuua! Gender inequality ipo and very evident Tanzania na Africa at large!Hvi naomba kuuliza wanaposema wanawake wananyimwa haki zao ni kama hazi gani?
mtoto wa kiume unacatch feelings hiv? ukishikwa tako je.. si utale
hii thread na matako wapi na wapi!!!
mtoto wa kiume unacatch feelings hiv? ukishikwa tako je.. si utalegea[emoji23]