Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Unakimbia point yangu mzee, nakwambia hiv kk pekee Ina gorofa nyingi kuliko CBDs zenu zote tatu combined kama unabisha tuhesabu gorofa zilizopo CBDs zenu vs kk. Nikaongeza nikasema labda urefu na thamani ya baadhi ya majengo yenu ndio vinaeza vikajitoa kimasomaso lakini kwa idadi ya majengo ya gorofa kk haina mpinzani CBDs zenu zote tatu zinakalishwa na kk kwa idadi ya gorofa zilizopo.. bisha na hii nikutie aibuEastleigh tu.., π π π π π ., napenda mnavyojikweza ili muonekane.., ikija Dar haunidanganyi kamwe.., ukubwa wa Dar ni uswazi tupu, kariokoo ni kajisehemu mmekusanya vigorofa., giving a false perspective eti density..., weka wide angle aerial view nikuonyeshe kitu., π π π π π π ..,
That's why you keep on dying of hunger and killing each other because of tribalism. It is stupidity at the highest level to kill someone just because is not from your tribeI have been banned more than 10 times since I joined jamii forums because of saying the truth about Magufuli. Sycophancy Tanzania iko hadi kwa private businesses no wonder the low GDP.
Don't switch sides. Magufuli is dead and he ruined Tanzania with propaganda. Talk about that.That's why you keep on dying of hunger and killing each other because of tribalism. It is stupidity at the highest level to kill someone just because is not from your tribe
ni kweli kabisa,,dawa ni kuwakaushia watu wa aina hiyo punde wanapo post vitu vya aina hiyo hiyo,,,Huyu mtu [mention]Geza Ulole [/mention] ana ufala sana yaani na utu uzima wake,
Watu wakisahau hii ujinga yeye lazima airudishe humu.
90% ya content anayoweka humu ina maudhui ya kushindanisha hao watu wawili.
Huu uzi unaanza kukosa mvuto sababu ya ujinga wa watu na wengine kadhaa,
Huu mjadala uishe na turudi kwenye battle
Weka wide angle unangoja nini kilaza? drop it here, Mombasa size yenu π π π π .., zaidi ya hapa hakuna kingine Dar.., propaganda usiniletee, pelekea wenzako kule vijiweni..,Unakimbia point yangu mzee, nakwambia hiv kk pekee Ina gorofa nyingi kuliko CBDs zenu zote tatu combined kama unabisha tuhesabu gorofa zilizopo CBDs zenu vs kk. Nikaongeza nikasema labda urefu na thamani ya baadhi ya majengo yenu ndio vinaeza vikajitoa kimasomaso lakini kwa idadi ya majengo ya gorofa kk haina mpinzani CBDs zenu zote tatu zinakalishwa na kk kwa idadi ya gorofa zilizopo.. bisha na hii nikutie aibu
A very clear description ya Watanzania wengi hapa jf.., infact in this thread wamejazana!Kwanza Kwa elimu niliyonayo mimi nadhani asilimia ya watanzania waliosoma wanaoweza ku-level up na mimi ni less than 15%. And Iβm being fair. Tukitoa wizi wa kura, CCM huchukua asilimia kubwa Ya votes kutoka Kwa Wanawake ambao nina uhakika Kwa Tanzania wengi wao hata tertiary education hawana. Meaning hata mambo ya politics na rule of law hawaelewi. Kwa hiyo hata kama Angefanya jambo la Ajabu wao wangebaki kuwa mashabiki tu. Magufuli hao Ndio alichukua akili zao ukijumlisha na wanaume pia.
Pia Kwasababu elimu ni janga la taifa, political dialogues Kwa watanzania wengi ni kupinga na kutukana na kukamata wale ambao opinion zao ni tofauti. Hili jukwaa ni mfano mzuri wa jinsi ambavyo watanzania walikuwa brainwashed na uongozi wa Magufuli kiasi kwamba mtu yoyote aliyemkosoa baba yao alitukanwa.
Hiyo haifuti ukweli kwamba demokrasia Tanzania ilipungua Sana katika uongozi wake.Kuhusu demokrasia ilibidi afanye alivyofanya.
Kwa jinsi nchi ilivyokuwa inaendeshwa, kwa miaka 15 kabla yeye kuwa rais, asingeweza kufanikisha mipango yake kama angeruhusu kila mtu apige kelele. Hizi nchi zenye maslahi fulani kwa nchi maskini, huwa wanatumia upenyo wa demokrasia kurubuni maendeleo.
Dar-is-a-slum haina metropolitan area. Yani hakuna satellite urban area outside cbd ya kariokoo na posta. Ukienda mbali ni oysterbay mahali unaeza tembea kwa mguu. Huko kwingine Its just one big slum.Weka wide angle unangoja nini kilaza? drop it here, Mombasa size yenu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .., zaidi ya hapa hakuna kingine Dar.., propaganda usiniletee, pelekea wenzako kule vijiweni..,
View attachment 1955863
Hesabu za hizi sehemu za Mombasa na Kk uone haziachanii mbali kwa idadi, pengine muonekano tu.,
Mombasa
View attachment 1955865
View attachment 1955866
Am liking your arguments., very objective and reasonable., not seared with blind patriotism, even though you are a patriot..,Kuna sehemu nimeandika kuwa Magufuli hakujenga nchi nzima? Ulichoandika ni full of HYPOCRISY na COWARDICE. Unaona tatizo lipo lakini unazungukazunguka kuweka hoja zisizo na msingi. Kwa nini usikubali tu kuwa uongozi wake ulikuwa na dosari?
We kumbe ni mpumbavu sana, tubashane kwenye ukweli sio kujifurahisha, nimekwambia 80% ya gorofa zote zilizopo kk ni 10 floors .. mbona wakenya mnapenda uongo uongo nyie, na huna aibu eti unaniita kilaza kabisa ili kutetea upuuzi wakoWeka wide angle unangoja nini kilaza? drop it here, Mombasa size yenu π π π π .., zaidi ya hapa hakuna kingine Dar.., propaganda usiniletee, pelekea wenzako kule vijiweni..,
View attachment 1955863
Hesabu za hizi sehemu za Mombasa na Kk uone haziachanii mbali kwa idadi, pengine muonekano tu.,
Mombasa
View attachment 1955865
View attachment 1955866
Hawapendi kusikia neno Nairobi Metro., kwao utakua umeingia mashambani ama sehemu zinaonekana uchochole tupu..,Dar-is-a-slum haina metropolitan area. Yani hakuna satellite urban area outside cbd ya kariokoo na posta. Ukienda mbali ni oysterbay mahali unaeza tembea kwa mguu. Huko kwingine Its just one big slum.
In Nairobi from Thika to Kitengela ni 70km na bado uko ndani ya Nairobi metro. View attachment 1955877
ha haaaaaaaa,,,bange zikikolea lazima upagawe,,Weka wide angle unangoja nini kilaza? drop it here, Mombasa size yenu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .., zaidi ya hapa hakuna kingine Dar.., propaganda usiniletee, pelekea wenzako kule vijiweni..,
View attachment 1955863
Hesabu za hizi sehemu za Mombasa na Kk uone haziachanii mbali kwa idadi, pengine muonekano tu.,
Mombasa
View attachment 1955865
View attachment 1955866
kabisa yaani hakuna,upo sahihi sana sijui kwanin kwanini hiyo city ya dar iko ivo kwanini wasituige sisi wakenya venye tunafanya kwani tuko very classic kwa hii world.Dar-is-a-slum haina metropolitan area. Yani hakuna satellite urban area outside cbd ya kariokoo na posta. Ukienda mbali ni oysterbay mahali unaeza tembea kwa mguu. Huko kwingine Its just one big slum.
In Nairobi from Thika to Kitengela ni 70km na bado uko ndani ya Nairobi metro. View attachment 1955877
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Halitatokea kamwe wewe mchwawi na murogi, leo hii uchawi wenu na urogi umeshindwa kwa Jina la Yesu Kristo.., [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji23] [emoji23] ., wivu, chuki na roho mbaya ni laana aise!., kijana vumilia tu, Kenya will remain forever above Tanzania, hilo weka akiba, mtaterseka hadikizazi kitakacho jikubali kizaliwe.,
Weka nizihesabu na floors zote..., Dar tunaijua., deceptive perspective..,We kumbe ni mpumbavu sana, tubashane kwenye ukweli sio kujifurahisha, nimekwambia 80% ya gorofa zote zilizopo kk ni 10 floors .. mbona wakenya mnapenda uongo uongo nyie, na huna aibu eti unaniita kilaza kabisa ili kutetea upuuzi wako
Vumilia kaka, vumilia, utazoea tu π π π πha haaaaaaaa,,,bange zikikolea lazima upagawe,,
haya ndiyo madhala halisi ya matumizi ya bange
nice one! Ukisema kitu kuna watu mabingwa wa kuku-count out! Kuna Deep Learning and smart Learning pia! All needs ML pia neural Network as foundation! Wakati mwingine mabifu yana enlight watu..! π€£π€£ππKuona mnavyotamba na AI na ML jana nilikuta course ya IoT Microsoft wanaonesha YouTube nimeanza kuisoma it's very fan. Mdongo nitafika ML maana baada ya kumaliza kazi zangu jioni nina mda hata masaa 2 au matatu yanatosha kuangalia
Huko kwao 35km, half the distance away unajipata kibaha. The equivalent of a village like Kambiti along the kenol-marua highway.Hawapendi kusikia neno Nairobi Metro., kwao utakua umeingia mashambani ama sehemu zinaonekana uchochole tupu..,
Halitatokea kamwe wewe mchwawi na murogi, leo hii uchawi wenu na urogi umeshindwa kwa Jina la Yesu Kristo.., [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji23] [emoji23] ., wivu, chuki na roho mbaya ni laana aise!., kijana vumilia tu, Kenya will remain forever above Tanzania, hilo weka akiba, mtaterseka hadikizazi kitakacho jikubali kizaliwe.,
wakenya wenzangu mnavituko sana,,Vumilia kaka, vumilia, utazoea tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]