Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wewe kama nani pita kulee thread yako hii? Na-post ninachotaka! Hujui kwamba hunauwezo wa kuni-bully! Unatakiwa u-ignore my posts!
 
Halafu mburura ni jina la ukoo wako!
 
Tatzo lako unahisi unajua kila kitu kumbe mweupe tu...haya madude waachie walioyakalia darasani, we endelea ku copy na kupaste post za twitter then uweke maneno yako uwaoneshe watu ni jinsi gani unajua while hujui kitu...

Hakuna kitu kinaitwa biometric card kuna biometric informations km fingerprint, iris, retina, palm veins, face recognition n.k, ukiskia mtu anasema ana biometic card jua nae kilaza km ww...

Ktk Authentication methods kuna aina 4 tu
1. Something you know e.g password or PIN
2. Something you have e.g card
3. Something you are e.g biometic infos.
4. Somewhere you are.
Ningeenda deep ktk hii ila wacha niishie hapa.

Na km serikali teyari ina info zako + biometric info kupitia kitambulisho cha taifa na mitandao ya simu ishakusajili, biometric info za nn tena kwenye vitambulisho vya wamachinga?

Unapoenda kufungua biashara Brela hua wanakuchukia alama za vidole?
Na makampuni yaliyosajiliwa brela hayafanyi cashless transaction?

Or unavyoenda KFC unakuta either QR code au no ya simu pale ya kulipia ni biometric za nani zilitumika kuwasajili KFC brela? Or unavyolipa umeme, jamaa wanakata kodi, Rea, kodi ya majengo biometric za nani zilitumika kuwasajili Tanesco?

By theway now days kuna kitu kinaitwa API unapotengeneza system huitaji user database, una query existing database za wenye nazo teyari...system ya wamachinga ina weza ku rely on the already existing National ID database and already existing mobile service provider databases.
 
Nimeuliza what do u understand by biometric? Jibu swali! Halafu usifikirie wewe tu ndo unajua hii field!
 
Read btn the line utajua nimeielewaje biometric.
Unajua a simple foto can make a difference in an id and it is biometric too! Vitambulisho vya malaika wenu vilikuwa vya kipumbavu na upotezaji wa rasilimali! Kitambulisho cha mlipa kodi lazma kiwe secured! Na si ule upuuzi! BTW nani kasema biometric card? Nionyeshe mahali nimesema biometric card humu ndani!
 

Naona unajaribu kumchanua kilaza
 
Hizo API sijui nini usiende mbali usikurupuke! U need basics!
 
Unajua a simple foto can make a difference in an id and it is biometric too! Vitambulisho vya malaika wenu vilikuwa vya kipumbavu na upotezaji wa rasilimali! Kitambulisho cha mlipa kodi lazma kiwe secured! Na si ule upuuzi!
Km simu yako ina fanya face recognition as a means of authentication, tafta picha yako yoyote then itumie kufungua simu yako. ikifungua then u r right, isipofungua then u just another stupid idiot.
Ktk biometic hatuna simple photo tuna face recognition ambayo inaenda zaidi ya just a simple foto, kuna measurements zinachukuliwa ktk uso tu make it a biometric...
Next time unapopost kitu jaribu ht ku google b4 hujapost angalau ku verify ujuvi wako...Just google is a photo a biometric then uone utapata majibu gani?..

Now back to JPM...issue ya JPM was just an idea, somewhere to start with, people along the way will perfect it, just as how Mwinyi did.
ht JK alianzisha usajili wa no za simu wa kawaida kabisa hakuna mtu alimponda then JPM hajatupeleka kwenye biometric, unasemaje kuhusu JK?
or smart phone za kwanza kwanza zilikua hazina biometric authentication while teknolojia ilikuepo na tulikua tunaitumia kufungulia milango maofcn, does that means wangeacha kutengeneza simu wasubiri mpaka feature ya biometric iwepo? Heb ficha ukilaza wako aisee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…