Sijajua umetumia picha ambazo zimepigwa kwenye level moja au technique ipi...ila the best way ni kuangalia floor height ya kila floor ..na kuzi add au kupima meters ...Kwa wanaojua height ya majengo kwa vipimo wanaezakubalina na mimi kua majengo ya mzizima ni between 135 to 130m kwa office tower,huku la residential ni 110 to 105m kwa muonekano.
Nimefanya hii comparison nikitumia majengo ya GTC hotel tower ambayo ni 143m na 38 floors na pia yale mawili ya residential yaliyo na 110m na 32 floors...so kwenye huu utafiti nimegundua GTC hotel tower ni ndefu zaidi kwa ile ya mzizima na meters kadhaView attachment 1953196View attachment 1953198
kwa international standards mbona urefu wa floor hujulikana ukiacha mezzanine (groundfloor) 4m, huwa 3m (10 ft) ! kwa hiyo chukua number of floors uzidishe 3 m/floor!Sijajua umetumia picha ambazo zimepigwa kwenye level moja au technique ipi...ila the best way ni kuangalia floor height ya kila floor ..na kuzi add au kupima meters ...
Most of Public companies zinazojenga haya majengo huwa hazinotify height na wanapenda kutumia floor count which is not the best way .
Anyways i still think Mzizima iko below GTC office tower..but ni ndefu kuliko tower nyingine zote za GTC
I estimate it to be 150m for the office tower and 120m for residential
The first two pics cant be used ku compare due to distance
Kwenye Picha ya tatu kuna Benjamin Mkapa tower which is 90m 21 floor building and City Piaza 21 floor ..and they are just 4 blocks away from mzizima tower ila angalia ilivyoyapitaView attachment 1953230View attachment 1953231View attachment 1953232
Mama will do even more than Magu.Here we go 👇Nilisema hili April 23.
Wanamuita Magufuli majina ili kufufisha legacy yake. Nchi hii tangu uhuru imeoata viongizi wawili tu: Nyerere, Magufuli.
Not necessarily afanye ya Magu, Mwendazake did not set leadership standards kwamba ndio awe reference,kwangu alikuwa warrior aliyekosa mbisu sahihi za kupigana.
Majengo ya residential sana sana hupelekana kwa vipimo....for example 32 floors hufika 110m kwa nchi nyingi za Asia na Africa sababu wajenzi ni wachina,so vipimo vingi huendana.Sijajua umetumia picha ambazo zimepigwa kwenye level moja au technique ipi...ila the best way ni kuangalia floor height ya kila floor ..na kuzi add au kupima meters ...
Most of Public companies zinazojenga haya majengo huwa hazinotify height na wanapenda kutumia floor count which is not the best way .
Anyways i still think Mzizima iko below GTC office tower..but ni ndefu kuliko tower nyingine zote za GTC
I estimate it to be 150m for the office tower and 120m for residential
The first two pics cant be used ku compare due to distance
Kwenye Picha ya tatu kuna Benjamin Mkapa tower which is 90m 21 floor building and City Piaza 21 floor ..and they are just 4 blocks away from mzizima tower ila angalia ilivyoyapitaView attachment 1953230View attachment 1953231View attachment 1953232
Kwa maslahi gani hasa? Amekutana na viongozi kadhaa wakiwemo wakuu wa IMF, wafanyabiashara na viongozi wenzie wanawake that is more than enough .
Mambo ni ♨️♨️ ,Hakuna kulaza damu ni kuleta pesa Nchini tuu saizi.👇
Sukuma gang wanashinikiza kampuni yao ya mfukoni ipewe Kazi kwa bei ya kutupa bila ushindani Ili waendelee kutupiga.
🙏🙏 Mama ni business tuu majigambo kawaachia wazee wa legacy 😁😁.Kazi iendelee
Ndio maana huwa nawaambia wafuasi wa Mwendazake ni wajinga.Unaweza wekeza pension funds kwenye risky businesses kama viwanda na kilimo? Una akili timamu kweli?General tyre ni hujuma tu mkuu, hivi unaweza kuniambia sababu za kile kiwanda kushindwa kurudisha returns au kushindwa ku operate licha ya uhitaji mkubwa wa bidhaa zake hapa East and Central Africa? Hizo pension funds zinapaswa kuwekeza kwenye viwanda vyenye tija na pia usimamizi uwe mkubwa mbn returns kwa viwanda ni Pi (3.14)
Real estates ndio na ni sahihi,unategemea kupata wapangaji kama uchumi umeuharibu? Mbona before Mwendazake Real estates zilikuwa na wapangaji? Why after Magu ilianguka?real estate? kweli ofisi au makazi mangapi yanashindwa kupata wapangaji? Machinga complex? Rocky city mall? Viwanda kama vya sukari au mafuta ya kupikia yanalipa na kama ikiwezekana pension funds zijikite huko!
Kama ana connection huko Duniani ingefaa awe Waziri wa utalii au viwanda na biashara ingempa wigo mzuri wa kutanuka kwenye masoko mengine.Mbelwa kairuki ni sheeda sana, ingekuwa inawezekana angepewa balozi zote.