Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kirigiti stadium🤗😍😍 tuonyeshwe ccm kirumba😂😂
IMG_20210921_103708.jpg
IMG_20210921_103718.jpg
 
Sasa hapo nishangae nini wakati huo ni ushauri tuu alafu UN ndio wamekosea walitakiwa kufikiria hili mapema pengine viongozi wengi wasingeenda..

Sasa unatoa statement wakati olmost viongozi wengi washafika New York itasaidia nini?
Sasa kwann unajamba nani kakupa ruksa ya kujamba 😆😆😆😆😆😆
 
Hii ni uswazi mama yangu hebu njooni muone Hili kichwa dafu 😁😁😁😁😁😁😁 wamekariri slum kwao sasa wanahisi Dunia nz

Zoom basi tuone 😁😁😁😁😁
Tulia dawa iingie vizuri, wacha kurukaruka😂😂
 
Chato ilikuwa Kijiji si Mji! Mji kwa Geita Region ulikuwa Geita Town na ni "kurekebisha" na si "kulekebisha"! Nyeupe ibaki Nyeupe!
hujui kitu man'gaa wewe....
mji mkubwa wa geita ni katoro na kutoka geita hadi chato ni masaa 3:30 au na zaidi same time dar moro au msoma mwanza
vilevile kutoka chato hadi bukoba mjini kunaumbali pia
maisha ya chato ni kama mahala pengine popote panapokua tanzania ni nini mbaya geita kumegwa ikabaki na madini na chato kubaki na uwanja mbuga na ziwa ambalo pia sio lao pekeyao

hivi mbona unaumia as if chato hakustaili maendeleo?au sio tanzania?
ukanda utakuua na maa Id yako hayabadilishi chochote ngurue pori wee
 
😂😂😂😂 leteni popcorns kuna war huku
 
nahisi haujamuelewa geza,
 
Tanzania's GDP is above $70 bln! Just b'se hatujafanya rebasing haimaanishi kwamba tupo nyuma hivyo! wengine wanawinda mikopo ku-survive...!
Tanzania imefanya rebasing 2019, your GDP is just around $65 or below,.., revenue collections and income ya several sectors are evident of the size, haiwezi fika $70B hiyo ni uongo peupe, unatamani sana iwe ivyo lakini sivyo, propaganda peleka mbali, after every 5 years countries are supposed to rebase their economy to capture other sectors into the GDP according to world bank, which u obeyed, last ilikua 2014, where u rebased mkatoka kwa $30s mkaja hadi $44B., there, and then when u rebased in 2019 there was nothing meaningful to show, I remember, yaani taifa ni fukara., no additions to the GDP.., pengine muanze biashara ya gas., am sure it will add up to 20% or more.., lakini kwa sasa u maybe at %58B.., kiuhalisia.,
 
Back
Top Bottom