Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Magumu ama low life? yaani umasikini umetapakaa unaonekana wazi wazi ata kwa mgeni.., hizo facts zenu haziwezi kukubalika jinsi tunavyo ijua serikali ya propaganda.., mbona taifa likue ndani ya mataifa tatu lenye masikini wengi fukara?.., mbona mkusanyiko wa ushuru uwe kidogo licha ya employment kusemekana iko juu?.., mimi sidanganywi kirahisi.., ufukara is your middle name, mengine ni hadithi za vijiweni.,
 
Kwa Mkenya makazi bora ni magorofa yaliyorundikwa sehemu moja.
 

A government that borrows from individuals to service and repay the overdue external debts is a failed government, and indeed a broke and poor,
How do you even believe that there is economic growth for such government.
Those figures are cocked to rise the ceiling for borrowing more money. Plain and simple.
 
Only a mad economist and janja janja politicians wilk tell you that the economy has registered higher growth in the face of pandemic.
 
Annual income ni ndogo kwasababu ya pilferage na weak systems lakini econony iko underated sana. Mtaalamu mmoja wa Brazil alifanya utafiti wa TZ economy wakati wa mkapa na kukuta our economy was 3 times than what was reported then.
Economic output pia inaonekana kwa mapato ya sectors za uchumi., I know your ports' total income, liko wazi, banking and retail, airports, transport and telecommunications, nakadhalika.., uchumi zaidi ya $100-150B kama mnavyo dai haiwezi kua na mapato hafifu katika sectors zake kama Tz ilivyo kwa sasa., yaani tuseme kwa mfano, masikini mwenye mshahara wa elfu mia mbili ya Tanzania anajilinganisha na mtu mwenye pato lake ni millioni mbili ya tanzania, ati wako level mmoja.., huwa mmekula nini nyinyi? vitu viko very open and basic..,
 
a government sio taifa kilaza, it is a management body of a nation.., kwa uchumi kuna private sectors and independent bodies, organizations and institutions.., Kenya sio Tanzania where CCM govt is almost the whole economy of Tanzania, inamiliki almost everything, Kenya ni taifa la kibepari.., stop looking at Kenya through Tanzanian poverty lenses.
 
Angalia jinsi Wakenya wanavoishi katika matabaka, angalia hiyo part ya Nairobi kuliyvo na concentration alafu angalia estates wanazopost humu ndani jinsi zinavochukua wakazi wachache...

Kama Tanzania tutacontrol makazi Holela Dodoma EST and Central Africa hakutakuwa na mji kama Dodoma

Kenya kuna chumba cha gorofa kodi yake ni laki moja ya Tanzania, imagine
 

Kenya is also ruled by same Kanu mafia in a different political party brand name of Jubiloot. A truly banana republic.
Sadly, Only the ruling class from Two tribes have been ruling the banana republic for at least 6 good decades.
 
...unafikiria Kenya ni taifa la mazuzu kama Tz serikali ipike data watu wakose kuiumbua πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚., unapata tabu., economic output inaonekana kwa sectors za uchumi., Tanzania ni fukara zaidi ya vile CCM inaitangaza., hilo liko wazi sana.., nenda kalilie kwa choo.., infact uchumi wa $65B should be having better revenue from most sectors than what Tanzania has now.., yaani hizo$65B ni estimation ama hypothesis, not a reality per'se.., mko ovyo zaidi kaka, wacha kujiliwaza.
 
Bado iko under construction.., yenyu haijaanza na mnapiga kelele.., in Tatu some sections are up and running., jomba bado mko chini yetu ukatae ukubali.., mko way below, mbona hilo liko wazi sana..,
Why are Kenyans infatuated with english names are they really still mentally colonised. Eti eastleigh, wastelands, those buses kwenye picha ya Tatu city eti Crawford.
 
angalia Dar kwa huo mtazamo ujionee mwenyewe., jiangalie kwanza kaka πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., mko ovyo, kubali, mjijenge musonge mbele., kiburi wacha
 
Why are Kenyans infatuated with english names are they really still mentally colonised. Eti eastleigh, wastelands, those buses kwenye picha ya Tatu city eti Crawford.
Pili pili usio ila inakuashia nini?.., bakini na Gongo la Mboto na Kijitonyama yenyu, πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ wachana na sisi tubaki na Westlands yetu, akina UpperHill, Parklands, Kilimani na kadhalika..,
 
Kenya is also ruled by same Kanu mafia in a different political party brand name of Jubiloot. A truly banana republic.
Sadly, Only the ruling class from Two tribes have been ruling the banana republic for at least 6 good decades.
Tanzania CCM tokea mwanzo wa Taifa, hadi sasa, matokeo: ufukara ulio tapakaa., jiangalie kwanza, North Korea of East Africa.
 

What will you do then you poor kenyans zaidi ya kulialia huko twita?,
You are only good at making noise and your politicians are clever enough to ignore your noise,
Nyinyi hakuna kitu mnaweza wafanya wenye nchi yao ambao ni wazungu na familia ya Kenyatta na wanasiasa wakikuyu na wakalenjini . Majority mpo majalalani hamna hata pa kushika, mnakufa njaa huku wazungu wakimiliki maelfu ya ardhi yenu kiduchu inayolimika, wanalima maua na chai na mirungi na kuuza ulaya na marekani halafu nyie mafukara mnaokufa na tai shingoni mnasomewa data za exports za maua kisha mnakenua.
Have you ever asked why all your black rich people are politicians or political affiliates ?
Ubepari wenu ni wa kijinga ndio maana mna kundi kubwa la maskini wa kutupwa wasioweza hata kupata mlo mmoja.
What poor Kenyans can do is speaking English with typical Kenyan tribal accent and aggressively reproducing like rodents in your poor tiny desert. Huku bongo kamwe hamtakaribishwa hata kama tuna malaki ya ardhi iliyo idle .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…