Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kivipi Mkuu? Wakazi gani hao ?
If at least they have good shelter, access to clean water, reliable food, healthcare services, electricity, free education and reliable transport infrastructure kwanini useme wana Maisha magumu? au kwako tafsiri ya Maisha magumu ni ipi? Nadhani unaelewa hatuna hata mji mmoja wenye slums kama ilivyo huko Nairobi, kisumu, mombasa nk.
And just to remind you, despite big population, Tz have the least rate of unemployment and smaller population of people living below poverty line than Kenya. Hope you know the facts.
Magumu ama low life? yaani umasikini umetapakaa unaonekana wazi wazi ata kwa mgeni.., hizo facts zenu haziwezi kukubalika jinsi tunavyo ijua serikali ya propaganda.., mbona taifa likue ndani ya mataifa tatu lenye masikini wengi fukara?.., mbona mkusanyiko wa ushuru uwe kidogo licha ya employment kusemekana iko juu?.., mimi sidanganywi kirahisi.., ufukara is your middle name, mengine ni hadithi za vijiweni.,
 
Kivipi Mkuu? Wakazi gani hao ?
If at least they have good shelter, access to clean water, reliable food, healthcare services, electricity, free education and reliable transport infrastructure kwanini useme wana Maisha magumu? au kwako tafsiri ya Maisha magumu ni ipi? Nadhani unaelewa hatuna hata mji mmoja wenye slums kama ilivyo huko Nairobi, kisumu, mombasa nk.
And just to remind you, despite big population, Tz have the least rate of unemployment and smaller population of people living below poverty line than Kenya. Hope you know the facts.
Kwa Mkenya makazi bora ni magorofa yaliyorundikwa sehemu moja.
 
Nani kasema mna GDP ya $60B., world bank wanawaweka at $65B., maumivu mlio nayo ni ati Kenya iko juu yenyu, tena kwa mbali mnadhani tumepika kwa ajili ya mapumgufu yetu, hakuna lingine ila ni wivu na chuki inawasumbua, itabidi mzoee ukweli., na ujue wakenya hawaamini serikali kama vile watanzania wanaamini CCM.., ndio maana tunakosoa sana serikalin yetu na media zetu zina anika mazuri na mabaya wazi wazi,., nyie mnabebwa ujinga na mnakubali, ata kitu kenye ukifuatilia vizuri utaona ni porojo mnashangilia tu..,

A government that borrows from individuals to service and repay the overdue external debts is a failed government, and indeed a broke and poor,
How do you even believe that there is economic growth for such government.
Those figures are cocked to rise the ceiling for borrowing more money. Plain and simple.
 
A slight hiccup, taifa linayumba sectors kama zote.., mwingine anasema kwa sasa Tz ni uchuni wa $100 - 150B.., vitu viko wazi sana..,

Tanzania explains its lowering economic growth trends​

SUNDAY SEPTEMBER 19 2021​

agenda pic

Treasury Permanent Secretary, Mr Emmanuel Tutuba

Summary

  • In a letter to the International Monetary Fund, Tanzania stated that it slashed its growth forecast to four percent this year, down from 5.6 percent announced in June
ADVERTISEMENT

By Louis Kalumbia
More by this Author

Dar es Salaam. The government yesterday attributed the lowering of economic growth projections to the decline in performance of key sectors due to Covid-19 impact.

According to a letter of intent to the International Monetary Fund (IMF), Tanzania slashed its growth forecast to four percent this year, down from 5.6 percent announced in June.

Finance and Planning ministry’s permanent secretary Emmanuel Tutuba told The Citizen yesterday that the outbreak of the third wave of Covid-19 was the cause of the slow performance of the key sectors including tourism and transportation.

The government will also table a supplementary budget in Parliament in February 2022, after the disbursement of the $567 million (Sh1.3 trillion through Rapid Credit Facility (RCF) and Rapid Financing Instrument (RFI) by the IMF.

“The slashing is partly due to closure of industries and lockdown in most foreign countries, which significantly affect the movement of people and goods, therefore bringing implications in revenue collections,” said Mr Tutuba over the phone.

He said in 2020 the country’s economy grew by 4.8 percent as compared to seven percent anticipated, noting that this was fairly good compared to other countries that recorded a negative growth.

ADVERTISEMENT

“Some key sectors have been seriously hit by the third wave of Covid-19 in the first six months of 2021 that has forced us to review projections from between four to five percent instead of the previous 5.6 percent reaching December this year,” he said.

He said the tourism sector poorly performed in the first quarter and Covid-19 retarded its recovery in the second quarter, but expressed regaining hope after jab campaigns.

According to him, coronavirus impacts in the transportation of people and cargo has been caused by travel restrictions, grounding of planes and cancellation of fleets, therefore reducing the sector’s contribution to the country’s economic growth.

Regarding the supplementary budget, he said the was move aimed at seeking parliamentary approval of funds recently secured from IMF in order for money to be legally utilized.

Mr Tutuba said the funds have already arrived, saying procedures were underway to sign agreements with the government of Zanzibar and different ministries on how the money would be utilized.

“The Sh1.3 trillion funds from IMF is a new source of income that will need approval of Parliament in agreed areas,” he said, terming it a normal legal requirement.

However, he said not all the Sh1.3 trillion would be reflected in the Sh36.33 trillion approved budget for 2021/22, because there were some sources such as mobile money transfers that would not contribute by 100 percent as earlier predicted.

Reacting on the development, the University of Iringa (UoI) lecturer, Prof Enock Wiketye said projections always do not consider the unknown future conditions.

“Tanzania’s advantage is good food production that will reduce costs of feeding the population. But, concerns will remain on the government’s efforts to prevent more impacts to the sectors such as tourism,” he said, adding.

“Principally, if projections have been made alongside probabilities, then they are realistic because you can’t be a 100 percent perfect when projecting on the future,” he said.

He said regardless of the source, secured public funds had to be taken to Parliament including through supplementary budget approval.

For his part, Prof Watengere Kitojo of the Centre for Diplomacy said trade, investment, technology, tourism, manufacturing and construction are the key areas expected to significantly contribute to Tanzania’s economic growth.

“But, most of them have been seriously affected by Covid-19. Despite growth in other countries having reached the single digit, the country’s projection is slightly high,” he said.

He suggested that special strategies should be put in place for realization of projection by ensuring stimulants are assisted to recover in order to significantly contribute to the country’s economic growth.”
Only a mad economist and janja janja politicians wilk tell you that the economy has registered higher growth in the face of pandemic.
 
Annual income ni ndogo kwasababu ya pilferage na weak systems lakini econony iko underated sana. Mtaalamu mmoja wa Brazil alifanya utafiti wa TZ economy wakati wa mkapa na kukuta our economy was 3 times than what was reported then.
Economic output pia inaonekana kwa mapato ya sectors za uchumi., I know your ports' total income, liko wazi, banking and retail, airports, transport and telecommunications, nakadhalika.., uchumi zaidi ya $100-150B kama mnavyo dai haiwezi kua na mapato hafifu katika sectors zake kama Tz ilivyo kwa sasa., yaani tuseme kwa mfano, masikini mwenye mshahara wa elfu mia mbili ya Tanzania anajilinganisha na mtu mwenye pato lake ni millioni mbili ya tanzania, ati wako level mmoja.., huwa mmekula nini nyinyi? vitu viko very open and basic..,
 
A government that borrows from individuals to service and repay the overdue external debts is a failed government, and indeed a broke and poor,
How do you even believe that there is economic growth for such government.
Those figures are cocked to rise the ceiling for borrowing more money. Plain and simple.
a government sio taifa kilaza, it is a management body of a nation.., kwa uchumi kuna private sectors and independent bodies, organizations and institutions.., Kenya sio Tanzania where CCM govt is almost the whole economy of Tanzania, inamiliki almost everything, Kenya ni taifa la kibepari.., stop looking at Kenya through Tanzanian poverty lenses.
 
Angalia jinsi Wakenya wanavoishi katika matabaka, angalia hiyo part ya Nairobi kuliyvo na concentration alafu angalia estates wanazopost humu ndani jinsi zinavochukua wakazi wachache...

Kama Tanzania tutacontrol makazi Holela Dodoma EST and Central Africa hakutakuwa na mji kama Dodoma

Kenya kuna chumba cha gorofa kodi yake ni laki moja ya Tanzania, imagine
nai 1.PNG
nai 2.PNG
 
Kenya is also ruled by same Kanu mafia in a different political party brand name of Jubiloot. A truly banana republic.
Sadly, Only the ruling class from Two tribes have been ruling the banana republic for at least 6 good decades.
 
A government that borrows from individuals to service and repay the overdue external debts is a failed government, and indeed a broke and poor,
How do you even believe that there is economic growth for such government.
Those figures are cocked to rise the ceiling for borrowing more money. Plain and simple.
...unafikiria Kenya ni taifa la mazuzu kama Tz serikali ipike data watu wakose kuiumbua 😂 😂 😂., unapata tabu., economic output inaonekana kwa sectors za uchumi., Tanzania ni fukara zaidi ya vile CCM inaitangaza., hilo liko wazi sana.., nenda kalilie kwa choo.., infact uchumi wa $65B should be having better revenue from most sectors than what Tanzania has now.., yaani hizo$65B ni estimation ama hypothesis, not a reality per'se.., mko ovyo zaidi kaka, wacha kujiliwaza.
 
Bado iko under construction.., yenyu haijaanza na mnapiga kelele.., in Tatu some sections are up and running., jomba bado mko chini yetu ukatae ukubali.., mko way below, mbona hilo liko wazi sana..,
Why are Kenyans infatuated with english names are they really still mentally colonised. Eti eastleigh, wastelands, those buses kwenye picha ya Tatu city eti Crawford.
 
Angalia jinsi Wakenya wanavoishi katika matabaka, angalia hiyo part ya Nairobi kuliyvo na concentration alafu angalia estates wanazopost humu ndani jinsi zinavochukua wakazi wachache...

Kama Tanzania tutacontrol makazi Holela Dodoma EST and Central Africa hakutakuwa na mji kama Dodoma

Kenya kuna chumba cha gorofa kodi yake ni laki moja ya Tanzania, imagine
View attachment 1945985View attachment 1945987
angalia Dar kwa huo mtazamo ujionee mwenyewe., jiangalie kwanza kaka 😂 😂 😂 😂 ., mko ovyo, kubali, mjijenge musonge mbele., kiburi wacha
 
Why are Kenyans infatuated with english names are they really still mentally colonised. Eti eastleigh, wastelands, those buses kwenye picha ya Tatu city eti Crawford.
Pili pili usio ila inakuashia nini?.., bakini na Gongo la Mboto na Kijitonyama yenyu, 😂 😂 😂 wachana na sisi tubaki na Westlands yetu, akina UpperHill, Parklands, Kilimani na kadhalika..,
 
Kenya is also ruled by same Kanu mafia in a different political party brand name of Jubiloot. A truly banana republic.
Sadly, Only the ruling class from Two tribes have been ruling the banana republic for at least 6 good decades.
Tanzania CCM tokea mwanzo wa Taifa, hadi sasa, matokeo: ufukara ulio tapakaa., jiangalie kwanza, North Korea of East Africa.
 
...unafikiria Kenya ni taifa la mazuzu kama Tz serikali ipike data watu wakose kuiumbua ., unapata tabu., economic output inaonekana kwa sectors za uchumi., Tanzania ni fukara zaidi ya vile CCM inaitangaza., hilo liko wazi sana.., nenda kalilie kwa choo.., infact uchumi wa $65B should be having better revenue from most sectors than what Tanzania has now.., yaani hizo$65B ni estimation ama hypothesis, not a reality per'se.., mko ovyo zaidi kaka, wacha kujiliwaza.

What will you do then you poor kenyans zaidi ya kulialia huko twita?,
You are only good at making noise and your politicians are clever enough to ignore your noise,
Nyinyi hakuna kitu mnaweza wafanya wenye nchi yao ambao ni wazungu na familia ya Kenyatta na wanasiasa wakikuyu na wakalenjini . Majority mpo majalalani hamna hata pa kushika, mnakufa njaa huku wazungu wakimiliki maelfu ya ardhi yenu kiduchu inayolimika, wanalima maua na chai na mirungi na kuuza ulaya na marekani halafu nyie mafukara mnaokufa na tai shingoni mnasomewa data za exports za maua kisha mnakenua.
Have you ever asked why all your black rich people are politicians or political affiliates ?
Ubepari wenu ni wa kijinga ndio maana mna kundi kubwa la maskini wa kutupwa wasioweza hata kupata mlo mmoja.
What poor Kenyans can do is speaking English with typical Kenyan tribal accent and aggressively reproducing like rodents in your poor tiny desert. Huku bongo kamwe hamtakaribishwa hata kama tuna malaki ya ardhi iliyo idle .
IMG_2464.png
 
120 Reactions
Reply
Back
Top Bottom