Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
Am speechless kweli Tanzania kubwa
Hii kambi ya wakimbizi Nyarugusu Tanzania wanaishi maisha mazuri kuliko 80% of Kenyans
Wanajivunia sana kuwa Tanzania, nimeangalia kambi ya kakuma na kulinganisha na Nyarugusu ni chooni na mbinguni
Kiswahili wanachoongea hata wakunya wa Mombasa hawawezi pia nimeona wanapenda zaidi kuitwa watanzania kuliko hizo nchi wanazotoka
Actually nchi zao zote kwa sasa zina amani lakini wanaishi Tanzania kambini sababu maisha ya Tanzania kambini ni mazuri kuliko maisha ya uraiani nchi zao