Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ona CBD ilivyopauka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums1437394406.jpg
 
Maduka wamefunga wakawa wamachinga sasa hapo utanieleza tatizo ni nini
ungekuwepo hayo maeneo ambayo wanasema maduka yamefungwa ningekupa offer ya kutalii Tz,,maana maduka yote hapo kariakoo asilimia kubwa watu wanaendelea na dhughuli zao yapo open monday-sunday,,,na ukiona mtu kafunga anachangamoto zake bjnafsi hivyo anakuja mwingine anarent in short huwa tunasema hakupoi akianguka mmoja kiuchumi kuna wengine laki wanaamka na kurecover palipo pwaya
 
Wakuu zikitoka picha mpya za kkoo msishangae mana kwa ss kariakoo zimejengwa residential building mpk raha na bado zinaendelea kujengwa, yn unaweza kutembea umbali mrefu kkoo wkt wa jua kali na jua lisikupate kwasababu ya majengo marefu yaliyojaa pale, subirini picha mpya ya kkoo iwastue hawa mbwa [emoji190][emoji240][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#@superpower[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
na wamachinga wakipangiwa maeneo rasmi ndiyo kabisa yaani city itakuwa clean
 
Back
Top Bottom