Km nyie km nchi wazembe hamna mbinu za kutafuta hela shauri yenu[emoji1787][emoji1787]Niletee nchi yoyote duniani inayojielewa yenye huu ushubwada wa 500km journey ndani ya hivi vipanya
View attachment 1934665
Uzuri wake ndio hzo stickers[emoji1787][emoji1787]Daladala za Tanga
Ngamiani zipo coasters classic sana zinaenda Kange na vitongoji vya Tanga jiji umbali wa chini ya kilometers 20, wakati Kunyaland safari ya 500km ni ndoto kupanda coasters
View attachment 1934688View attachment 1934689View attachment 1934690
Sibishani na mpuuzi ambae hiyo miji yote anaishia kuiona kwenye picha, fika kwanza ndio uelewe nnachomaanisha, picha za drone zisikuongopee, Mwanza ni nzuri kuanzia usafi na kila kitu, hizo hapo chini ni picha nimepiga kwa mkono wangu 👇, na wewe kama umewahi fika Arusha leta picha za kufanana na hizi uko ArushaWatu wa Arusha watapinga hii kauli yako wewe.., big ain't better.., such a backward town ndio eti imeendelea kwa muonekano wako?.., inTanzania hakuna developed city, narudia hakuna!
Yah!!kw sababu iko na space ndani, 10seater.....Huyu mwamba na begi lake utadhani anaenda Airport, ila Wakenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1935111
Kwani ukikubali kwamba nyie mpo nyuma yetu miaka 10 kwenye mambo ya usafiri na usafirishaji utakufa.? 😂😂😂Yah!!kw sababu iko na space ndani, 10seater.....
Viti vikubwa vya leather mpka leg room ndani dereva na aburia tu hakuna konda alafu uje ulinganishe na coaster ya kusima simama kila sehemu hku konda akijipigia mayowe[emoji1787][emoji1787]pole sana
Shuttles hazina konda mzee[emoji1787][emoji1787]Kwani ukikubali kwamba nyie mpo nyuma yetu miaka 10 kwenye mambo ya usafiri na usafirishaji utakufa.? [emoji23][emoji23][emoji23]
Whatever the language you want haibadilishi maana kwamba mna usafiri wa kipumbavu Africa nzima, hata Burundi wamewapiga gapMaskini, kumbe hata maana ya shuttle hujui alafu unakuja kupiga kelele hapa..
Soma mzigo hapo chini vizuri[emoji1787][emoji1787]View attachment 1936033
Kwenye hivyo vipanyaShuttles hazina konda mzee[emoji1787][emoji1787]
Mbele dereva na abiria mmoja, nyuma abiria tisa viti vyote vikubwa vya leather alafu uje ulinganishe na upupu wa coaster plus mayowe ya konda..pole sana
Sasa kama kumiliki hivyo vipanya mpaka muunde group kubwa kuna mkenya ataweza kushusha vyuma kama hivi kwa wingi huu kwa mkupuo? Sababu chuma kimoja hiki ni hivyo vipanya 50Km nyie km nchi wazembe hamna mbinu za kutafuta hela shauri yenu[emoji1787][emoji1787]
Kenya is a human resource economy, uchumi wetu bila sisi ni upupu
wacha kuabisha Tanzania, ficha huu mji, umechoka, muundo wa kizamani sana 😂 😂 😂 .., naifahamu vipoa sana., domo domo zako hazibadili ukweli, Arusha has better looks.., huu umechoka!Sibishani na mpuuzi ambae hiyo miji yote anaishia kuiona kwenye picha, fika kwanza ndio uelewe nnachomaanisha, picha za drone zisikuongopee, Mwanza ni nzuri kuanzia usafi na kila kitu, hizo hapo chini ni picha nimepiga kwa mkono wangu 👇, na wewe kama umewahi fika Arusha leta picha za kufanana na hizi uko ArushaView attachment 1935972View attachment 1935976and these are some of beautiful things in Mwanza 👇 . . . . Mimi ni mtanzania ambae Nimeishi majiji yote hapa Tanzania nayajua nje ndani, mjinga kama wewe mpiga nduru me nakudharau tu
View attachment 1935973
Tafuta slum mwanza unileteewacha kuabisha Tanzania, ficha huu mji, umechoka, muundo wa kizamani sana 😂 😂 😂 .., naifahamu vipoa sana., domo domo zako hazibadili ukweli, Arusha has better looks.., huu umechoka!
Look at the clip wewe mwenyewe umeanika hapa., can't convince you., kama mnaona Dar is developed! hilo jiji kubwa uchwara on average ni nini hauwezi kuniambia wewe., a broken clock is correct twice a day., so pia Mwanza ina sehemu za kupendeza., but way below Arusha, meza wembe.
Mwanza hio😂😂😂😂 ungeficha video clip kama mnavio fanya Dar is slum.., aibu.
Dar Moro Dar luxury tupu, Nairobi eldoret kipanya 😅Uzuri wake ndio hzo stickers[emoji1787][emoji1787]
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi anateuliwa na nani?Mkuu tatizo la katiba iliyopo ni lipi hasa linalozuia wapinzani kuishinda CCM?
Kama kwa akili ya mitanzania zuzu kama wewe utasema hizi za dar 👇 👇 sio slum., sasa unataka nini tena?.., Mwanza pia utasema sio slums, akili za wengi wenu zimeganda haziambiliki chochote.,tunatembea nanyi mlivyo.., so Tanzania hakuna slums😂😂😂.., tulia kaka hizi👇 sio slums..,😂😂 ni standard ya taifa kwa sasa.., mido incomeTafuta slum mwanza uniletee
Weka picha za ndani ya buses za Kenya zinazofanana na hizi mimi ni log off JF sasa hivi
Hata Zambia pia anateuliwa na rais lakini wapinzani wanashinda. Mbona majaji wanateuliwa na rais lakini wapinzani wanashinda kesi nyingi tu, mbona wapinzani walishinda viti vingi vya ubunge na madawani kipindi cha Lowasa ilhali tume imeteuliwa na rais?Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi anateuliwa na nani?
Unajua maana ya sacco wewe au ndio umeanza kuskia leoSasa kama kumiliki hivyo vipanya mpaka muunde group kubwa kuna mkenya ataweza kushusha vyuma kama hivi kwa wingi huu kwa mkupuo? Sababu chuma kimoja hiki ni hivyo vipanya 50
Wambie hii sio michina ..
Kumbe hata hamjui km shuttles zinatumikaje[emoji1787][emoji1787]Sasa wakija watano wenye mabegi kama hayo si kigari kishajaa hicho? [emoji28][emoji28][emoji28]
Mbongo kwanza akitoka atokako kwenda destination yake anabeba mazaga ya kufa mtu, mara mchele, karanga, mafuta ya alizeti, asali, matunda bado huko njiani haja ongeza vya kununua barabarani, ataenea vipi kwenye hicho kigari? [emoji28][emoji28][emoji28]