Ukiniletea kampuni iliyowekeza kw ajili ya dar moro natoka jfMadam unapingana na hali halisi ya huku Tanzania.
Sasa kuanzia leo inatakiwa utambue hilo kua Tz katika usafiri wa umma tupo tofauti, usi-force tufanane.
Na wala usitake watu tuhoji kimo chako. Ukiendelea kubisha tuna-confirm height yako hapa, talent hiyo tunayo[emoji16][emoji16][emoji16].
By the way umenifurahisha, umeleta challenge iliyoibua participants kutoka kusikojulikana
(Umegusa hisia za watu).[emoji23][emoji23][emoji23]
Umerudi kw route[emoji1787][emoji1787]We kijana ukumbuke unazungumzia Tanzania sio kenya, route za Dar-Moro ni kama zote kila siku, hata ufike stendi saa kumi na mbili jioni unapata bus za Dar-Moro, tz watu wanasafir mno kila leo.. uje ujionee mwenyewe, acha kujificha kibera na kuaminishwa kwamba mnatuzidi kwenye sector ya usafiri na usafirishaji, safiri kijana ..mpo nyuma yetu sanaa kwenye hii sector ya usafiri na usafirishaji
Dar moro hata coaster unapanda na zinapiga daily tu mbona[emoji1787][emoji1787]Shida ni kwamba huyo mwehu anaongelea habari za Tz huku akifananisha na Kenya.
Huju jamaa kwa uongo wake enzi tukiwa primary tungemwita mzee wa fix . Halafu huko brainwashed pia hauna aibu maana uongo ni sana kutoka kwako . Mzee wa mahela ya kupakua a.k.a downloadKwani hizo cargo barges ni gari ama ndege?[emoji1787][emoji1787][emoji23].
Let me repeat to you all once again, the biggest ship in lake Victoria currently is MV Uhuru I, the record will be broken by MV Uhuru II. Zote ni meli za Kenya[emoji23][emoji23]
kama weweHehee!!region ukwaju..
Nyie mtwadanganya mapumba tu
Thank you!Mzalendo wa kweli, mpenda maendeleo.. The best 007 mwambie huyu mtu mzima mpuuzi Opportunity Cost aache kumdhihaki huyu mwamba skiliza nondo zake enzi akiwa waziri
Precision Air..takes up sijui 20%of domestic routes Air Tanzania over 80 %,NMB is the leading bank in Tz not owned by Kenyans, followed by CRDB .., Media IPP media and AzamMedia , Clouds Group, Construction nileteeni company yenu kubwa kama Estim,Advent ...Kenyans own nothing that controls Tanzania my friend .Acha kujimwambafiy kijinga jina na uongo wako...I'm sure you also don't know that KQ has 41% shares in Precision Air[emoji23][emoji23], yani uchumi wa Tanzania imeshikwa na wakenya. Starting from Banking, media, Aviation, manufacturing, education, construction, management etc.
Una matatizo ya akili wewe, tatizo hujawahi toka nje ya Liberal ndio sababu unapiga Domo tupu, Ingia google utafute "About Bus Services" ujifunze, punguza ujinga, Tanzania ni taifa kubwa sio "Failed state".Hakuna kampuni itakayo base na dar moro mzee, hako ni ka route hta coaster inapiga..
Ndio manake unaweza kuta kampuni inayo deal na dar dom tu lkn dar moro lazima iongozewe na route zingine..
Hakuna tajiri mpumbavu wa kiwango hicho, eti ajaze youtongs kibao kw ajili ya route ya 100km
ndo maana zile gari za ushagoo matatu hazitaisha Kunyaland, in Tanzania Dar-Moro route has one of the high class buses though its a 2 hours route! U simply don't know how Morogoro is a such a vibrant center of activities from higher learning institutions to industries, to agriculture to trade!Safari za masaa matano hta somalia kuna kampuni zinafanya...
Nataka unipe kampuni inayofanya dar moro nitoke jf..
Unafikiria matajiri ni wapumbavu kiasi hicho, magari hubadili route mzee acheni ushamba
Kondoo analala kwa mafii ya kondoo na mkenya analala kwa mafiii ya binadamu kiberaTofauti ya wakunya na kondoo ni harufu tu.
Dar Moro ni 200km.Hakuna kampuni itakayo base na dar moro mzee, hako ni ka route hta coaster inapiga..
Ndio manake unaweza kuta kampuni inayo deal na dar dom tu lkn dar moro lazima iongozewe na route zingine..
Hakuna tajiri mpumbavu wa kiwango hicho, eti ajaze youtongs kibao kw ajili ya route ya 100km
Wakenya mnadanganywa kweupe,mwambie huyu jamaa aweke drone footage ya Mwanza na Arusha hapa muone wenyewe.Ila nyie wakenya mnachekesha sana ππ hujawahi kufika hiyo miji so huna unachojua, Mwanza imeendelea zaidi kuliko mji wowote Tanzania ukiitoa DSM, by the way nimefanya kazi Arusha after form six, nimesoma chuo Mwanza miaka mitatu likizo zote nimetumia Arusha, naijua hiyo miji nje ndani, Tafuta nauli uje mimi ntakua mwenyeji wako, Ili ujionee ambavyo Mwanza imeendelea, hivyo vipicha visikudanganye.. kenyans kumbe mnasumbuliwa na kuto tembea..watu wa Arusha huwa wanaenda Mwanza kwaajili ya kutafuta maisha, biashara na starehe..
Hapo umemkamata,Real estates Tzn ni Dar,Dodoma na Kidogo Arusha kwingine kote ni dream housesEbu taja hizo real estates zenye ako nazo.πππ
Machozi yote haya ni sababu Tanzania hakuna safari ya 500km kwa vipanya kama KunyalandUkiniletea kampuni iliyowekeza kw ajili ya dar moro natoka jf
Kenya owns Tanzanian economy π.Precision Air..takes up sijui 20%of domestic routes Air Tanzania over 80 %,NMB is the leading bank in Tz not owned by Kenyans, followed by CRDB .., Media IPP media and AzamMedia , Clouds Group, Construction nileteeni company yenu kubwa kama Estim,Advent ...Kenyans own nothing that controls Tanzania my friend .Acha kujimwambafiy kijinga jina na uongo wako...
BTW...Nimeona Post umeandika MV Uhuru is 94m while its 91m at its best ..And MV Mwanza will be 93m
Also MV Uhuru and MV Umoja have same capabilities as they were built as Sister Ships.. all are 92m ships ila kwa vile Kenya mnapenda kujipa sifa sishangai ukijongezea number
Go and do your homework
The real owner of precision has a Bank and several big investments lakini hayupo kwenye ranks zozote kama Biwott who owns nothing close to the guy π π πKenya owns Tanzanian economy π.
1. Aviation - Precision Air.
2. Media - Mwananchi Magazine and The Citizen.
3. Management - Managers in several big companies in Tanzania are Kenyans.
4. Construction - Most Tanzanian buildings were designed by Kenyans.
5. Banking - KCB, Equity
6. Education - Most international schools in Tanzania are filled Kenyan teachers.