Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Walitaka kushindana na daladala kwenye anga zao, daladala hakai kwenye foleni mda wote fulu kutanua tuu
Ukinionyesha penye alisema Kenya haina chakula promise you ntatoka jf for good 🤣🤣😂🤣Rais wako anasema hamna chakula kwenu, ameanza kutembeza bakuli la msaada, hope that SSH atamsaidia tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunaangalia quality pia, sio bei tu. Hapa Kenya kumekuwa na providers way cheaper than hiyo Tanzania lakini watu wamekwamilia Safaricom due to quality. Ndio maana Kenya inaongoza kwa internet penetration, online presence and online business hapa Afrika. Nyinyi endeleeni kushabikia cheap bundles.
Waandishi wa habari wakati mwingine cjui ni kukosa elimu madhubuti au ni vipi, mtu anaandika kabisa basi la mwendo kasi limegongana na pikipiki wakati hiyo ni njia ya basi za mwendo kasi.Tanzanian BRT is failed system [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
kudeal na akili za mtanzania yenyewe ni kazi......serikali hurtangaza state emergency ili kuweka nguvu zaidi kwenye hilo tatizo na wala si kuitisha usaidizi
Your BRT is failed 😂😂🤣Waandishi wa habari wakati mwingine cjui ni kukosa elimu madhubuti au ni vipi, mtu anaandika kabisa basi la mwendo kasi limegongana na pikipiki wakati hiyo ni njia ya basi za mwendo kasi.
Hapo ilipaswa kuandikwa "Pikipiki yagonga basi la mwendo kasi wawili wafariki"
Thanks for reminding us events of 2017😂😂🤣
Huwa hasomi kilichomo.Waandishi wa habari wakati mwingine cjui ni kukosa elimu madhubuti au ni vipi, mtu anaandika kabisa basi la mwendo kasi limegongana na pikipiki wakati hiyo ni njia ya basi za mwendo kasi.
Hapo ilipaswa kuandikwa "Pikipiki yagonga basi la mwendo kasi wawili wafariki"
Mkunya hajawahi miliki akili, halafu hizo pesa zote zinaenda UKWanasherekea pale inapopata faida ya kutosha wamesahau kuwa wanapunwa
Your BRT failed, just accept and move on🤣😂Huwa hasomi kilichomo.
Yeye huwa kichwa cha habari kinamtosha tu!
"Walivuka wakati taa nyekundu imewaka"
Pesa zinabaki Kenya ng'ombe hii.Mkunya hajawahi miliki akili, halafu hizo pesa zote zinaenda UK
Wao wanakufa njaa tu!
Wewe mkunya unajua nini zaidi ya kupokea msaada wa chakula?Pesa zinabaki Kenya ng'ombe hii.
Hii picha ikiwekwa bila maelezo kila mtu duniani atajua ni Tanzania [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe kama Kawaida yake anadandia treni kwa mbele, mm nikawa nashangaa zitagongana vp wkt BRT ipo kwenye njia yake?Huwa hasomi kilichomo.
Yeye huwa kichwa cha habari kinamtosha tu!
"Walivuka wakati taa nyekundu imewaka"
I know that most of safaricom profits remain in Kenya and Safaricom is also the most valuable brand in East Africa.Wewe mkunya unajua nini zaidi ya kupokea msaada wa chakula?