Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tulishaelewana kuwa bei za bidhaa haiezifanana kati LDC na middle income country [emoji23] [emoji23][emoji23]. LDC countries like Tanzania mnauziwa vitu cheap juu hamna pesa, take a look at this table, 93% of Tanzanians are worth less than $10,000[emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 1930626
Money with starvation [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu umewastukia unawapiga pale pale panapouma, report za kuomba msaada wa chakula zimetoka jamaa wanataka kupotezea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hawa kiboko yao ilikuwa Magu tu, angewakazia kwenye kuuza alafu angewapelekea msaada [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kunyata katangazia ulimwengu kwamba wana baa la njaa sababu yupo hoi, uchumi upo kaburini mpaka wameenda kuomba msaada wa chakula Zambia sa sijui wanapitisha wapi 😅😅
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Karne ya 21 serikali inashindwa kulisha raia wake alafu wanaongelea GDP [emoji1787][emoji1787]

Zamani kabla ya kuijua Jamii Forums wakunya wengi especially wa humu walikuwa hawajui kama wazungu ni wanafki kwenye takwimu, huwa wanazi hype nchi ambazo zimewaacha wafanye wanavyotaka, lkn kwa ss wakunya wengi especially wa humu wameshaelimika ndio maana huwa hawaongelei upuuzi wa GDP [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kunyata katangazia ulimwengu kwamba wana baa la njaa sababu yupo hoi, uchumi upo kaburini mpaka wameenda kuomba msaada wa chakula Zambia sa sijui wanapitisha wapi [emoji28][emoji28]
Uliwahi kusikia wapi nchi iwe na uchumi mkubwa alafu inashindwa kulisha raia wake miaka nenda rudi, huwa nasema mm Kenya ni Mavi mnasema nawatukana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uliwahi kusikia wapi nchi iwe na uchumi mkubwa alafu inashindwa kulisha raia wake miaka nenda rudi, huwa nasema mm Kenya ni Mavi mnasema nawatukana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duh ni aibu kabisa 😅😅😅

Cha ajabu wakunya wengi bado wanaielewa sana serikali yao na yule Taahira anaeiongoza, BBI imewatafunia pesa nyingi sana ambazo ni mwendawazimu tu atawaelewa 😅😅😅
 
Today's fact.

Did you know that Tanzania received $1.5B in grants to finance their budget? That's 15% of their total revenue which was $9.5B.😂😂

Kenya on the other hand only received $198M as grants in 2020, that's less than 1.2% of the total revenue which was $18.16B.
 
[emoji1319][emoji1319][emoji1241][emoji1241][emoji7] hii inaashiria nn?
mojawapo nadhan ni watu wamehama kutoka mombasa kuja Dar port!

Your reasoning is always pathetic, kwani within those ten Tanzania was not growing? For your information Mombasa port recently received 65,000 tonnes of fertilizer. So please, spare us your stupidity.
 
Lazima tuelewane this time round 😂🤣😂

Average wealth per adult in Kenya is $12,000
Average wealth per adult in Tanzania is $3,000😂😂🤣

Screenshot (40).png


Screenshot (34)-1.png
 
Back
Top Bottom