Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
😂😂😂😂😂😂 Yaani me mwenyewe nilikua nashangaa hizi mbuzi zilivyo empty kichwani wapi na wapi? 🤣🤣🤣🤣Eti wamegundua mpesa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yn akili ya kutuma na kupokea pesa kwa simu isianze kwa waliogundua simu na pesa ianzie kwenye njaa na elimu duni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hako kamsemo walikuwa nako sana miaka miwili mitatu iliyopita ila now wameacha baada ya kupewa darasa na Watz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakikuonesha sasa huyo mgunduzi unaweza zirahi 😂😂😂