The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,994
Wewe vipi wewe yn kampuni isilipe kodi alafu tukae kmy, yani unasema bila woga kabisa eti ni private affairs, mkuu hivi unaelewa unachokiongea hapa?Acheni kuongea private affairs za watu huku ongeleeni maendeleo.Hayo ya kodi waachieni TRA wenyewe
Hivi vicorido vimebana mautumizi hadi rahaBRT infrastructure coming to shape.
View attachment 1924004
View attachment 1924005
View attachment 1924006
View attachment 1924007
nadhani ni ile ya nyerere ndo hela yake ipo tayar.. huku mwenge morocco bado
[emoji91]
Tulipotoka ni mbali, tunapokwenda ni karibu, nchi yenye electrical SGR ndefu zaidi Afrika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji91]
Itapendeza sanaTulipotoka ni mbali, tunapokwenda ni karibu, nchi yenye electrical SGR ndefu zaidi Afrika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu ulikuwa kmy sn.Itapendeza sana
From Tanzanite Park rooftop swimming pool.
BRT Morocco Mwenge Line [emoji41].
View attachment 1924436
View attachment 1924437
View attachment 1924438
View attachment 1924439
View attachment 1924440
View attachment 1924441
Mjinga huyo, anakwambia Tz ni watu 30% tu wameunganishiwa umeme wkt Dar pekee watu waliounganishiwa umeme ni 3/4 ya Wakenya wote wenye umeme.Teargass habari za Tz kua na 9k km of paved roads hua Ni za mwaka gani?
Mkuu ulikuwa kmy s
Kweli man nimepotea kidogo ila tuko pa1 sana..naona miradi updates kama zote...nmetumia mda mrefu Sam kuperuzi hadi kufikia hapaMkuu ulikuwa kmy sn.
Tajiri bwana mapesa , big liar halafu hanaga kumbukumbu . Ni aibu kwa kweli anijicontradict mwenyewe . Haaàaaa tajiri hoyeeeee
Ni mkenya halisi tena yule wa kale, roho mby, wivu, chuki na ubaguzi.Tajiri bwana mapesa , big liar halafu hanaga kumbukumbu . Ni aibu kwa kweli anijicontradict mwenyewe . Haaàaaa tajiri hoyeeeee
Mehn what a beauty. We will never experience this again
Yote Fedha za mradi wa BRT Phase 3 and 4 hela zilishatoka...ila naona wanafanya mambo slow sana sijui hata kama tenda washatangaza za phase 4Sijui kwann huu mradi wa brt phase 4 haunzi wakati pesa zilishapatikana tangu Sijui mwaka juzi mwishoni au Sijui mwaka jana mwanzoni
How waweke six lanes wakati wametoka kujenga lami mpya soon na taa washaweka pembeniHii phase inahitaji interchanges si chini ya tatu alafu waweke 6 lanes ukiachana na brt coz kuna upana wa kumwaga
Kama gorofa tuu zinaporomoka kila siku wataweza kweli kudesign a working brt system?Ki ukweli, hii BRT ita wasumbua sana.
1. Vituo ni vyembamba sana. Utakuja kuona iki/kama itaanza operations.
2. Barabara ya BRT hapo kituoni inatakiwa atleast iwe 2 lanes. Ili while basi moja limesimama kuchukua/kushusha abiria, lingine liweze kupita.
Kwa hapo ilivyo, Mark my words, itawatesa sana.