Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23] Huyo mwamba ana asili ya bongo kidogo tena atakua mzaramo kweli, mana sio kwa hizo shombo
Nenda kajiangalilie battle mwnywe hko twitter achana na screenshot[emoji1787][emoji1787]
Watu wamekimbia..
Kwanza nyie manjua nini zaidi ya kufungua majukwaa kenyan news
 
Acha utani😂😂😂
Screenshot_20210822-235537.png
 
Nyie hata huo msuli wa kujaribu hamna
emoji1787.png
emoji1787.png

Kaeni pembeni tu jamani, ile siku mtajaribu km nchi(tz) hata kujibiwa sudhani km watajibu.
emoji1787.png
emoji1787.png
Aah wapi.! Sisi tunaendanao battle za SGR na BRT na tunaonyesha bila shida, nyie sasa sijui mtashindananao nini 😂😂😂😂, eg, SA BRT👇
Screenshot_20210823-000246_1.jpg
Screenshot_20210823-000214_1.jpg
vs Tz BRT
Screenshot_20210806-020202_1.jpg
Screenshot_20210806-020103_1.jpg
heb Angalia hapo fair comparison.. tena buses zetu ni nzuri kuliko zakwao
 
😂😂😂 Ila bro unachekesha sana wewe .. hayo mashindano ya kimtindo yameniacha hoi, eti "kushindananao kimtindo" 😂😂, hizo nchi zimeendelea sana alaf ni kitambo, suala la eti jirani waponao level moja kimaendeleo ni upumbavu wa kupita maelezo, hiv unawezaje kushindana na nchi imewahi ku host kombe la dunia.? Ikiwa wew huna facility za kuweza ku'host hata AFCON.? That's stupidity .. wakunya ni waongo sana wazee wa kuongeza namba ili na wao waonekane wamba, wanajitiatia kama ushuzi wa ngomani 😂😂😂

South Aftica sio ki hivyo. Yes wana barabara nyingi kwenye mijiji na kuingia mijini na miji yao imepangwa vizuri, lakini, ndani ya kiji hiyo, ipo miji ni haina barabara, na ni vijumba vya mabati kama kibera.

Hali ya kimaisha ni hovyo mno na maisha nje ya miji mikubwa kama Pretoria, Johannesburg, Cape Town, Durban.

Ni barabara, industries, sijaona kingine nje ya hapo.

Pia, majengo yso katibu yote ni yakizamani mno, sana.

Mimi naipa Morocco kama nchi bora ki miundombinu.
 
oya, mbogi mkonaapi lakini,.. leo kuna venye teii, maroro, kigode, shash na shisha nimeikuta ki design.. hawa mafala wa tz hawanaga any! vitisho tu. wasije hapa kututishia nn. sisi ndo wale wasee. itabidi wame tii. teii sio maji lakini. hebu tutafutane kesho
 
Back
Top Bottom