Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Rayvanny in tanzania😁😁😁View attachment 1900560Rayvumbi in kenya 😂😂😂😂
2890036_IMG_20210820_223354.jpg
🙈Maajabu🔥🔥🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👊👊
 
Office of an african dictator[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1900455
Huyo alisha rest, kwa hyo unapoongelea wafu unaonesha how desperate you are, ni kweli aliwashikisha ukuta lkn ndo ameshafariki, so inabidi muachane naye tu japo aliwatesa, Magufuli hakuwa na ajenda mby na Kenya isipokuwa alitaka tu muwe na heshima mjue nani ni baba hapa East and Central Africa, sasa hayupo nasi kwahiyo pambana na waliopo muache huyo apumzike, msiweke chuki na wafu mtaonekana wapumbavu wa mwisho hapa duniani.
 
Vichochoro ndani ya cbd[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1900457
Hii picha huwa inakuimiza sn unapogundua kwamba hakuna mchanga wala karatasi yoyote inaonekana hapo na pia ukifikiria kuna successful BRT system in Afrika ina cross hapo unlike ur shit hole city yenye uchafu kushoto kulia, Wakenya oneni jinsi Watz tulivyostaarabika yn city safi kuliko usafi wenyewe[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums-2111794200.jpg
 
Kuna katoto mm ni uncle wake niliwahi kusafiri nako mkoa kakaona nyumba za udongo kakashangaa kweli kweli kama katoto ka ulaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yani tangu kazaliwe hakajawaji kuona nyumba ya udongo wkt kuna miji mikuu ya nchi fulani za kiafrika raia wake bado wanaishi kwenye nyumba za udongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yani Nairobi kuna nyumba za udongo tena ni nyingi kuliko nyumba za block huwa nacheka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom