Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
An african president twerking on stage😂😂😂😂😂
Hakuna hadithi ya downtown wala uptown hapa ustaarabu tuu ndio unatakiwa regardless ya sehemu husika
Sasa hiyo nyumbu ni pesa ngapi?Tofauti zilizopo hapo ni kwamba moja imejengwa na wa Afrika from the scratch ila nyingine imeunganishwa na wazungu plus waafrika a.k.a waharibifu![]()
Dah Hawa watu ni wachafu sana.

Tulia Mzee umepanic 😀Tangu nisafiri hadi sasa nimerudi bado vitu za utoto tu ndo mnapost? Kuna ubaya gani wa a big town to have such??? Badala muongelee economical and social issues ni picha mnatafuta nkt! Nikama kazi imewakosa
Mbona kusiwe na usawa? Pote paonekane pako vizuri bila kubaguwa sijui downtown na uptown kweli Kenya kazi mnayo!View attachment 1900415
Ni vile ni kubwa hadi inakuchanganya Kuna down town mahali unapata picha zako moja moja mbovu na kuna the upper side
Yani mkenya na uchafu nikama Masai na sime😀Kenya yenyewe inayojitutumua kushindana na Tz nchi ambayo hata tusipofanya biashara maisha yanaenda, yn nchi ya ahadi yenye kila kitu, nimeona kuna kisehemu wazungu wanaandika eti per capita income ni around elfu moja na something nikacheka sana cz Watz wana per capita kubwa kuliko nchi nyingi za ulaya mana wanakula vzr kuliko baadhi ya raia wa nchi za ulaya and all this it's bcz of God given natural environment, yani niwaambie raia wa vinchi vyote vinavyotuzunguka kwamba Tz inaweza ikaishi bila Raisi kwa miaka 10 na mambo yakawa safi tu cz hii ni nchi ya ahadiView attachment 1900416View attachment 1900417View attachment 1900419View attachment 1900420
Kweli Sana brother!Hakuna hadithi ya downtown wala uptown hapa ustaarabu tuu ndio unatakiwa regardless ya sehemu husika