Hakuna hadithi ya downtown wala uptown hapa ustaarabu tuu ndio unatakiwa regardless ya sehemu husikaView attachment 1900415
Ni vile ni kubwa hadi inakuchanganya Kuna down town mahali unapata picha zako moja moja mbovu na kuna the upper side

How can you talk economics surrounded by such a dirt you will probably die of disease even before you can explain your economic theories.Tangu nisafiri hadi sasa nimerudi bado vitu za utoto tu ndo mnapost? Kuna ubaya gani wa a big town to have such??? Badala muongelee economical and social issues ni picha mnatafuta nkt! Nikama kazi imewakosa

Tofauti zilizopo hapo ni kwamba moja imejengwa na wa Afrika from the scratch ila nyingine imeunganishwa na wazungu plus waafrika a.k.a waharibifu

Kaka duniani hapa hakuna kiumbe mchafu kuliko mkenya.Dah Hawa watu ni wachafu sana.