Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screen Shot 2021-08-20 at 09.26.03.png
 
Wewe tumbili hiyo figure ni kwa Tarura,for Tarura nguvu kubwa ni kufungua barabara mpya na kuzijenga kwa gravel,lami ni kwa mijini tuu . Kuna figure ya Tanroads ambayo wanajenga zaidi ya km 2000 za lami kwa mwaka
Mngekuwa mnajenga 2000 kwa mwaka hamngekuwa bado mnacheza kwa 9000km of paved total roads😂😂😂
 
And a fool is celebrating construction of 7 floors buildings [emoji23][emoji23][emoji23]. Hizo seven floors buildings zinajengwa hata mandera.
unajua zipo ngapi zinajengwa hapo tena uzuri wa majengo siyo urefu tu
 
Back
Top Bottom