Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nitajie nchi rafiki mmoja wa Kenya nikutajie nchi rafiki elfu moja wa Tz alafu utajiuliza nani ana jealous.
rafiki ni somalia, south sudan, uganda, rwanda, ethiopia. adui tu, ni tz kwa huu ukanda ikianza na the late JPM ku auction mangombe zetu na kuua vifaranga, sababu kuu, uwivu!. hivi ni wao ndo wanataka waonekane zaidi, ilhali threshold hawajaifikia. nairobi ama kenya kwa ujumla, inajulikana duniani kote. lakini darslam ama tanzania, bado sana. thts a blatant truth but watz hawatukubali, uzuri tumewazoea
 
Kwani makinikia yalipokuwa yanaibiwa tanzania awakuwepo waliokuwa wanatoa ufafanuzi wa kutetea wewe ni bonge la pumbavuu nani kakuambia ufafanuzi ndiyo unazuia ufisadi kumbuka hata pesa zilizo ibiwa kwa marumbesa zilitolewa ufafanuzi wa kutakasa kuwa ilikuwa sawa ,kumbuka hata ununuzi wa rada pia ulitolewa ufafanuzi pia kuwa ni sawa ila ukweli ni tofauti kwanini swala zito la makinikia lifanyike kwa kificho
 

Wanafikilia jina hutafutwa na maneno ,,,sisi tukinunua chakula wanaona ni as if wanatusaidia...vile watz wa hapa hujifeel ni kama kwao ni ulaya jameni...na ni hapa to JF,,,niko na mabeshte wa Tz madereva ukiwauliza kuhusu Barabara zao utashangaa to wako Karne gani
 
Sukuma ndani kenge huyo,who is he in this Country? Atabinywa na atanywea,na wewe kamsaidie uone shughuli.
Watz tulisha sema hatutaki wapumbaavu watuongoze katika nchi hii tutawapinga usiku na mchana tunataka watu wanao jenga nchi siyo wakata mauno ,ccm bila ya magufuli ni mafiii ya kuku over
 
Toka kwenye mtandao nenda public ukayaseme haya uone moto[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Sisi hatuna muda wa kupigishana na wapuuuzi waliopo serikalini sisi tunajibu kwa vitendo ,kama tunavyojibu kwenye tozo tumeachana na hizo huduma za makato ya kianithi yaliyopewa jina feki la uzarendo
 
Unaposikia makinikia yanatoka nje usifikili ni makinikia kweli huo ni mzigo unatoroshwa wa dhahabu nagu hakuzuia makinikia ila alidhuia dhahabu kamili kwa jina la makinikia sababu ukiruhusu makinikia kutoka nje unakuwa umeruhusu ujuma za kuibiwa madini yako
 
Upumbavu wa Chadema na wao ni walewale, laiti wangekuwa na mrengo wa antivaxx wangetupata wengi!
Nikweli ila chadema wanafurahi kuona wanainchi wazarendo ambao ni team magufuli wakivulugana na serikali kwa sababu chadema kimevulugana na shangazi minido pia chadema inachuki na wazarendo wa tz ,HESABU HIPO HIVI....
1) CHADEMA VS TEAM SHANGAZI MINIDO AND TEAM WAZARENDO aka "MAGUFULI"
2)TEAM SHANGAZI MINIDO VS CHADEMA AND TEAM WAZARENDO "MAGUFULI"
3TEAM WAZARENDO VS TEAM MINIDO the killer AND CHADEMA
huu mchezo ni fireee[emoji91][emoji91][emoji91] hakuna chochota watafanya kwa Team wazarendo.
 
Saanaa yn wangetupata wazalendo wengi mnoo, na hii nchi ilivyotulia yn maendeleo yangekuja kwa kasi ya umeme cz chama kinachoongoza serikali kingekuwa makini sana mana kinajua kikizingua pigwa chini lkn ss ndo hivyo tena.
Dawa ni kuanzishwa kwa chama cha wazarendo wenye itikadi kali za kizarendo JPM AND NYERERE LEGACY
 
Wapi komora096 na MK254
 
Ndio hii hapa kwa juu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji3545][emoji2781][emoji706][emoji117][emoji1664][emoji117][emoji529]View attachment 1896122
Wahuni wamesha piga kupata pesa ya uchaguzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]tenda wanajenga jua kali MK254 komora096 Tony254 mkuje huku muone slum vision injinia
 
hii picha ya chini tumeisave..
View attachment 1896146

atokee mtu apost tena picha ya wakat wa baada ya uzinduzi
Kikuyu siyo mtu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapa East Africa hakuna wenye maisha magumu kama wakenya hata wakenya wa nairobi wanamaisha mabovu kuliko burundi nzima
 
accident my friend..... we ll fix everythng tomorrow.. uwivu wa mtoto wa kambo.. baraka kwako
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Ambia yule miss kibera komora096 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…