Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Flyovers ni nyingi sana NBO, hii sasa niipi wadau
IMG_20210811_105151_844.jpg
 
Hiyo sasa ndo nini msela wangu?🙂
Nakupa standard definition ya poverty kulingana na shirika langu🙂
Poverty per capita sio lazima uwe na phd ndo ujue nini, per capita inamaanisha kwa kila mtu mmoja. So what is the per capita poverty of tanzania in comparison to kenya.
 
Poverty per capita sio lazima uwe na phd ndo ujue nini, per capita inamaanisha kwa kila mtu mmoja. So what is the per capita poverty of tanzania in comparison to kenya.
Wewe sindo unajua kupima poverty 🤣🤣🤣
Tupe somo mwalimu🙂
 
ground mambo ni tofauti[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

ground hakuna kufake,wadau wapo huko kwenye hilo pori lenu ,wapo in reality
 
So bado unabisha si flyover[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], pili special ground ndo nini?? Yani tangu ugundue huu uzi ushakua engineer ghafla[emoji16][emoji16]
hamna cha maana mzee na mtaishia kuiona dar dubai ya afrika mashariki na kati wenzenu angalau baadhi yetu tunatembea hatubishani hapa kwa mapicha picha pekee zenye effect ,tunajua hilo pori lenu nje ndani na tumeishi hivyo hamna cha kutudanganya kwa ground
 
Dar ni Mombasa hapa Kenya., Tanzania nchi ya city moja 😂 😂 😂 😂

Mombasa🔥🔥🔥
1628671089663.png

1628671131538.jpeg

1628671107936.png

1628671170178.png
 
Back
Top Bottom